Uchaguzi 2020 Maoni ya Jeffery Smith juu ya Uchaguzi wa Tanzania 2020

".
And something reminds that, it's "Beberu" Claire Short who revealed BAE Scandal wakati akina Mayalla enzi hizo mnakula mishahara inayolipwa na wale wale waliokuwa wametuingiza kwenye BAE Saga, na wala hamkutujuza kuhusu BAE!
Du umenikumbusha mbali, beberu ni pale tuu anapotusema na kuingilia mambo yetu ya ndani ya sovereignty yetu. Lakini anapotusaidia ni nchi wahisani, nchi wafadhili, the donor community, the development partners, nchi marafiki, washirika wa maendeleo etc.

Enzi za kashfa ya Radar nilikuwa mtumishi wa FCO nikila £ zao!.

The Radar Scam: Chenge & Rashid...

Zanzibar kunyimwa 'Change ya RADA'
P
 
Kusingekuwa na upinzani imara Tanzania wewe Pascal na wasukuma wenzako kwa maelfu msingesambazwa kila kona ya nchi kumfanyia jiwe propaganda na kutesha wapinzani. Hakuna serikali iliyofanikiwa kwenye propaganda kama hii. Na tena ina ajenda za siri za kuua nyingi sana.

Nina uhakika mwisho wa jiwe ni mbaya tu! Kuweni na akili ya kumsaidia ajifunze kutoka kwa akina Mobutu, Idd Amin, Mugabe, Ghadaffi, Saadam, Hosni Mubarak, n.k na hata Jose Edwardo dos Santos juzi tu.

Hawa wote walikuwa na fedha kuliko jiwe, walikuwa na nguvu kuliko jiwe, walikuwa wanaabudiwa kuliko jiwe na walitawala kwa zaidi ya miaka 30 lakini mwisho wao kila mtu anajua hakuna aliyeishia vizuri hata mmoja.

Dos santos yupo ukimbizini Portugal tena anateswa na successor wake ambaye alikuwa ni kama bashite kwa jiwe hapa kwetu. Mshaurini mtu wenu aache kulewa madaraka.
 
Huyu jeffrey smith ni nani?
Yani anaacha kufatilia ishu za nchini kwake anaongelea mambo ya Tanzania yanamuhusu nini?
 
Beberu mzawa!
 
Hakuna mpinzani anaeteswa mkuu,wapinzani wanajitesa wenyewe kwa kukosa hoja za msingi za kusimamia kwa sababu mambo yote yaliyokuwa yanapigiwa kelele yamepata muarobaini sasa badala ya wapinzani kubadilika na kuja na strategy mpya wameshindwa wamebaki kufanya maigizo tu kutafuta huruma ya wananchi.

Kwa kweli wameishiwa na upinzani wao uchwara ndio umedhihirika wala sijui wataambia nini watu kipindi cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu oktoba
 
Fomu bado zipo na hakuna aliekatazwa kuchukua kinachoendelea ni kwamba kila anaefikiria kuchukua na akijipima na Chuma mzani unaelemea upande mmoja hiyo ndio raha na faida ya uchapakazi....kila wakiwaza wanaona bora iendelee kuwa fomu moja tu.
 
Magufuli mwoga sana, hana ushawishi wowote na anajua kabisa jinsi asivyokubalika na wengi.
Endeeleni kujifariji hivyohivyo mtashangaa Oktoba na akimaliza tunabadili katiba aendelee ATAKE ASITAKE
 
Fomu bado zipo na hakuna aliekatazwa kuchukua kinachoendelea ni kwamba kila anaefikiria kuchukua na akijipima na Chuma mzani unaelemea upande mmoja hiyo ndio raha na faida ya uchapakazi....kila wakiwaza wanaona bora iendelee kuwa fomu moja tu.
Mnamfahamu Membe? Msimfanyie figisu, hilo pepo lenu chafu, hata Gaefalo analibwaga mchana kweupeeee
 
Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!...


P,

Hakuna upinzani kwasababu hizohizo za wapinzani kupigwa risasi, kuibiwa kura, kufutwa majina yao, kununuliwa, kufungiwa biashara zao, kufungiwa vyombo vya habari n.k. Hivyo tukiaminisha watu kwamba upinzani hawawezi kushika dolla tujiulize dolla ni nini kwanza. Hivyo kutokuwa na upinzani Tanzania sio watu kutokupenda na watu ndiyo muhimu sio vyama. Upepo utafuata watu kila siku kama Urusi ilivyokuwa

Polisi, Jeshi , mahakama na hata bunge sio serikali. Wakuu wa mkoa, wilaya, na wakurugenzi sio hawatakiwi kufanya kazi za kisiasa ni watendaji.

Nafasi za kuchaguliwa na Uraisi, udiwani na ubunge tu. Sasa hapo kuna ugumu gani! hati wizarani makatibu wote sio wanasiasa ambao ndiyo waendesha shughuli. Miradi pesa za watu wote na sio vyama vya siasa. Ukiangalia vizuri wananchi wanaaminishwa kama vile serikali ni kitu kigumu lakini sio kweli na nafasi nyingi sio za kisiasa na zitaendelea na watu walewale waliopo. Tofauti ni sera tu. Mawaziri tu hao 20 ndiyo nafasi za kisiasa nyingine zote ni nafasi za kiserikali.

Kama hatupendi huu mfumo tubadilishe lakini mfumo wetu umetoka kwa hao hao unao waita mabeberu. Ni bora kubadilisha tujue moja badala ya kunyanyasa watu kuazia kupigwa risasi wapinzani mpaka kuaribiwa biashara zao. Tujue tu kwamba Magu kabaliza muda mfupi sana na miradi mingi hata treni mpaka Moro haijamalizika je lini itafika Kigoma.
 
Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!...
Kumekucha. CCM, Magu na kanisa wanahitaji vurugu tu TZ. siioni dalili yeyote ile ya CCM kukubali kuachia madaraka. Mwaka huu ni kiboko.
 
Wadau wamemkaba koo "pascal" mpk amekuwa "pasiko"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni vizuri wakaanza kuondoa udikteta kwenye nchi zao halafu wazungumzie ya kwetu. Wanawaua weusi wenzetu eti ndio demokrasia !!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Magufuli watz wameshamchoka anstumia policcm waliobashite kutisha watu
Nadhani unaongelea watz walio in your house not all citizens, issue hapa tunaongelea article ya huyo jamaa ambayo ina ukweli ila tusilishane maneno kuwa watz wamemchoka.

Kiongozi yeyote wa kitaifa akija na dhamila yake ya ujenzi wa taifa tofauti na mazoea ya wananchi siku zote anakuwa mbaya, tunakumbuka wkt wa Mkapa mlisema sana hasa pale aliposema (wananchi tufunge mkanda..) ikaja JK oooh hafai anacheka cheka aje rais serious mmh, kaja huyo huyo ambaye hata Mbowe alitamani aje jasiri as JPM leo 📣HAFAIII HUYOOOO...

Hapana ngoja kwanza.....
 



Ni wivu tu Magufulio apendwi.
 
Ni wivu tu Magufulio apendwi.
Takwimu zako zinakudanganya na inaonekana umekaa upande wa wapinzani uchwara ambao from morning to evening mna hasira tu kutwa kujazana sumu tu.

Watanzania wamemuelewa Rais wanampenda sana na watamchagua tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…