Uchaguzi 2020 Maoni ya Jeffery Smith juu ya Uchaguzi wa Tanzania 2020

Tukio la hivi karibuni la KUUWAWA kwa George kwa ubaguzi wa rangi kule Marekani mbona alikaa kimya?
Kwa sababu George alikuwa mfiraji hivyo kifo chake hakikupaswa kusikitikiwa.
 
Smith ni ka Beberu kadogo kako huko ubeberuni kajua ku twit basi ana m under rate Mh. Rais wetu, just ignore him, kujibu jibu vibeberu vya aina hii tutaonekana of low IQ.
Utawala wa JPM, umefanikiwa kujiimarisha kwa kubuni rushwa ya Teuzi! Teuzi za JPM zimewafanya watu wengi kuwa mahayawani. Mfano ni wewe naona uko tayari kumpiga mtu mapanga na kupeleka picha za tukio ili uukwae uteuzi.
 
Mwangalieni huyu....

Eti mambo yote yaliyokuwa yanapigiwa kelele yamepata mwarobaini!

Kwa miaka nenda rudi suala la ufisadi ndo limekuwa likipigiwa kelele! Kwa mwenye akili timamu anafahamu wazi ufisadi mkubwa nchi umekuwa ukifanywa na Watendaji wa juu kabisa serikalini kama Makatibu Wakuu wa wizara pamoja na high profile politicians kama vile mawaziri

Magu akajifanya eti kuanzisha Mahakama ya Mafisadi ili kuwahadaa wajinga! Nitajie Katibu Mkuu mmoja TU na/au Waziri mmoja tu aliyefikishwa kwenye mahakama ya mafisadi au kwenye mahakama nyingine yoyote ile kwa tuhuma za ufisadi!

Moja ya scandal kubwa kabisa kuwahi kutokea nchini ni Escrow Scandal! Ni takribani miaka 4 sasa Rugemalila na Singasinga wapo mahabuhusu kwa tuhuma za Escrow Scandal!

Kila mwenye akili timamu anafahamu Ruge na Singasinga hawakwenda pale BoT na vifaru wakiambatana na Jeshi la Mamluki kwenda kuiba zile pesa bali ukwapuaji wao ulipata baraka zote za watendaji wakuu wa serikali ikiwa ni pamoja na Katibu Mkuu na Wizara, Watendaji wa BoT, pamoja na Mahakama!

Nitajie mtu mmoja tu kutoka hayo makundi ambae ameunganishwa na akina Rugemalila!!

Baada ya JPM kuingia tu madarakani ikaibuka scandal ya Said Lugumi! Tueleze hapa kesi ya LUGUMI imeishia wapi, na ni watendaji gani wamefikishwa mahakamani kutokana na ile scandal?!

NI miezi kadhaa tu iliyopita JPM alimtumbua Andegenye na Lugola kwa kile alichoita ufisadi wa madudu gani sijui! Tuambie ile scandal imeishia wapi, na how come JPM anamsamehe Andengenye aliyehusika kwenye huo ufisadi?!

Btw, hivi ni nani aliongea hadharani kwamba Makonda ametumiwa na watu kukwepa kodi kwenye lile sakata la fenicha pale bandarini?!

How come serikali inayopambana na ufisadi inaendelea kuwa na kiongozi ambae rais amesema wazi kwamba kiongozi husika anahusika kwenye suala la ukwepaji kodi?! Hivi unafahamu miongoni mwa mambo ya haramu kabisa ambayo kiongozi wa umma hatakiwi kufanya ni ukwepaji kodi kwa sababu hiyo ni hujuma kwa serikali?
 
Mbona mnajifanya kupaza sauti kwa waliouliwa huko mbali, wa Tz je mbona hamuwasemei, au wao ni wanyama?!
Hakuna anaefurahia au kuunga mkono mauaji ya yeyote yule, iwe Mwangosi, Akwilina, Polisi waliouwawa kule kibiti the list goes on.

Mtu mwenye ufadhili wa kuendesha NGO toka kwa mabeberu, hana moral authority ya kitufundisha what is good governance.

Iko haja tujenge mifumo yetu na kukosoana kwa mambo ambayo hayako sawa humu humu ndani ili kesho yetu iwe bora kuliko leo yetu.
 
 
Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!
Mayala bana eti Ikulu yetu hembu kuwe na uthubutu wa hata nusu saa wa kuweka tume huru ya uchaguzi uone hao watanzania wataamua nini usiogope
 
Wala usipate shida kasome tu asilimia 98% ni wanafiki
 
Hamna kitu kama hicho miaka mingine mitano ijayo kama Mungu atatupa uzima ni Magufuli wengine wasubiri 2025 watimuliane vumbi kama hao watangulizi walikaa miaka kumi kila mmoja kwa Mema,na Mabaya kwa nini huyu tusimpe tena ataishangaza Dunia kwa kura wabunge atakao pata kwa kishindo mnyonge mnyongeni haki yake mpeni tuombeane uzima
 
....Iko haja tujenge mifumo yetu na kukosoana kwa mambo ambayo hayako sawa humu humu ndani ili kesho yetu iwe bora kuliko leo yetu.
Are you serious?? Kwny nchi ya kiimla wakosoaji wanakuwa salama?

Hujui nini kiliwapata Lissu, Mwangosi, Mawazo, Saa8,.... etc ?
 
Hakuna anaempenda magufulu, wanaompenda ni wale wanufaika wachache sana
 
Smith ameshawahi kuishi Tanzania miaka zaidi ya 4 na haya maoni yake aliyopost ni baada ya kufanya tafiti..
Sometimes kama hamjui kitu ni Bora utulie Kwanza......makachero wapo wengi wanafanya Yao ili chama chenu cha kijani kipigwe chini October

Sisi sisiem ndio Top Lecturers wa makachero, umeelewa, so hayo maneno yako ya kujitia moyo waambie wengine sio CCM.
 
Hata Gavana wa Uingereza hakuamini kama Mwalimu Nyerere na TANU wanaweza kuiongoza Tanganyika. Matokeo yake umeyaona mwenyewe.

Unawezaje kumhukumu mtu kuwa hawezi wakati hapewi nafasi?
anakazana kweli lakini hawamuoni kwny uteuzi
 
Hili la kusema hakuna watu wengine wenye uwezo wa kuongoza nchi yetu sikubaliani nalo hata chembe! Ni uongo na uzandiki! Shame on you!
 
Kama mtukufu mwenye mashauri mkuu Naibu Rais ndugu Daud Bashite kaweza kuongoza Nchi hakuna atakayeshindwa kuiongoza Nchi, kumbuka Bashite hana vyeti lakini ndiye mshauri mkuu wa mtukufu na Nchi inakwenda sembuse wapinzani ambao watakuwa na washauri wazuri wenye upeo mkubwa.
 
Kama Naibu Rais na mtukufu wameweza kuongoza Nchi ni mpinzani gani atashindwa kuongoza Nchi?
 
Hili la kusema hakuna watu wengine wenye uwezo wa kuongoza nchi yetu sikubaliani nalo hata chembe! Ni uongo na uzandiki! Shame on you!
Kama Naibu Rais ndugu Daud Bashite na mtukufu wameweza kuongoza Nchi ni mpinzani gani atashindwa ?
 
Tanganyika CCM walitaka aishie kwenye miaka 5 tu walimtaka mtu atakayeirejesha Dsm kuwa mji mpya toka Dodoma wanataka kurejesha Serikali huko Dsm ujue CCM hawapendani kwa kiwango kikubwa lakini sasa wanaishi kinafiki kwa kuzikariri zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM.
 
P bado hujapewa tu u DC fulani! Naona umejitoa muhanga kweli kweli kutetea wa home without objectivity uliyokuwa nayo zamani!!!!
 
P anaongea kutaka kuwavunja moyo watu wenye nia ya kuona haki inatawala. Serikali ya ccm inategemea kupata viongozi kutoka upinzani harafu anajitokeza msukuma kusema ati hakuna upinzani thabiti.
Mkuu ni muoga ccm ni chama kilichofirisika kifikra, kuna wazee waliozoea kudhulumu, kuiba haki, kuiba raslimali na kutafuta uhalali kitapeli.
Kuna utapeli mkubwa ktk miradi inayo endelea bandari kavu ya kwala ni aibu, na reli yote pia. Utapeli huu lengo lake ni wizi wa haki katika kura.

ACHIENI USAWA KATIKA KUFANYA SIASA UONE WEWE P
NI AIBU KUKAA UNASHABIKIA CHAMA CHA WATU WAOVU WEZI WA HAKI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…