Maoni Yangu: Kauli hii ya Rais Samia imekaa kibabe sana! Je, ni hasira?

Busara angeendeleza ukimya wake au akajibu hoja zilizomo kwenye waraka wa TEC hata kwa kutumia wizara/vyombo vya dola husika
Kabisa sasa yeye anaona kukaa kimya ndio jibu wakati wananchi wanabaki njia panda hawamuelewi na hiyo ni jeuri hataki kusikiliza maoni ya wananchi yeye anataka DP world iwe mvua au jua
 
Yawezekana amekaa kimya kwa maana ya kutokujibu hoja za wanaopinga mkataba wa IGA au kutokurejesha hatua alizochukua kuhusu ushauri wa viongozi wa dini aliokuwa amakutana nao awali.

Lakini, lakini, lakini naamini amechukua hatua ambazo hazijawapendeza Maaskofu wa Kanisa Katoliki, kiasi cha kuandaa na kutoa waraka. Ikumbukwe kuwa baadhi ya waumini wa Kanisa Katoliki wako Ikulu kunakopikwa mikakati ya utekelezaji maamuzi ya Rais.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "Hakuna mtu mwenye ubavu na misuli kuigawa nchi hii, kuiuza au kuharibu amani yake iliyodumu kwa miaka mingi".
Ni yeye Rais Samia anayeigawa nchi kwa maamuzi yake mabovu, kidini, kijinsia, kiukanda.
 
Licha kudai kukaa kimya na kuendelea kukaa kimya kuhusu sakata la Bandari lakini bado akazungumza, hakukaa kimya kama alivyodai ina first statement.

Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "Hakuna mtu mwenye ubavu na misuli kuigawa nchi hii, kuiuza au kuharibu amani yake iliyodumu kwa miaka mingi".

Ni maneno mazuri lakini tusome between the lines ya maneno yake! Nini maana ya ubavu na msuli? Kwani Kuna kutunishiana ubavu na misuli?

Kwa wanataaluma ya lugha ya kuongea na mwili ni kwamba Samia amesema, "nimeshaamua, mimi ni mbele kwa mbele na hakuna wa kunizuia kwa namna yoyote". Isipokuwa ametumia kauli ya kiongozi kuficha makali. Hii maana yake yuko tayari kufamfanya lolote atakayetunisha ubavu au msuli.

Je, ubavu na misuli ya TEC haiwezi kumtisha Samia na CCM yake?
Maana yake dola ina nguvu zaidi inatamsambaratisha
 
Hakujua tu kuwa Wananchi wana ubavu wa kufanya chochote kile wakikasirika.

Ajifunze yanayoendelea Sudani na Somalia.

Washauri wake wana kazi ya ziada kwa sasa.

Wamshauri vizuri kutokana na hali ya wananchi.
Mkuu

Kinachomsumbua ni kiburi, dharau kwa wananchi wanaonyang'anywa mamlaka yao majivuno kwa kuwa kazungukwa na vyombo vya dola bila kujua hao hao anaojiaminisha nao ni sawa na kubonyeza 'trigger' kwenye bunduki iliyopakiwa risasi za moto. Kila serikali inapata mamlaka kutoka kwa wananchi lakini hili linapuuzwa kwa vile 'the degree of perseverance by the TZ citizens is at the high peak level to detonate the bombshell blast'
 
Iko hivi: Mtu akizidiwa hoja, na akawa kwenye mamlaka, hutumia ubabe na vitisho!! ndicho kilichotokea!! hana hoja!! atasemaje kwa mfano kuhusu kuwapa DP World bandari zote bila ukomo wa muda? hawezi kusema siyo kweli maana hakuna kifungu kwenye mkataba kinachoainisha muda!! Na hakuna kifungu kinachoonesha namna ya kuvunja mkataba, ila kuna kifungu kinachosema mkataba hauwezi kuvunjika kwa sababu yoyote ile hata kwa utawala kubadilika!
 
Hakujua tu kuwa Wananchi wana ubavu wa kufanya chochote kile wakikasirika.

Ajifunze yanayoendelea Sudani na Somalia.

Washauri wake wana kazi ya ziada kwa sasa.

Wamshauri vizuri kutokana na hali ya wananchi.
Kajifunze na Syria pia.

Utaelewa kuwa kuna wanachi wanaompenda Rais wao na serikali yake.
 
Mimi kwangu nimeona ni kauli ya dharau, yeye kama kiongozi anapaswa kutatua changamoto kwa kufuata na kuheshimu maoni ya wananchi. Lakini ameonyesha udhaifu katika uongozi wake. Kiongozi anapaswa awe tumaini kwa anaowaongoza (wananchi). Ila yeye amebadilika na kuwa adui namba moja kwa wananchi wake na taifa kwa ujumla. Ajitafakari.
 
Watu kuna vitu wanapuuza Ila ni vya msingi Sana.
Mtu Kama Samia , aliyekulia ZANZIBAR yenye kulea watoto Kwa misingi ya kiislam si rahis Sana kutishika au kuheshim Sana tamko la maaskofu.

Rais ni binadamu Kama binadamu wengine hivyo makuzi yake na Mila na desturi za alikokulia zinamuathiri Sana.
 
Si uende mahakamani. Tuhuma kama hiyo siyo nyuma ya keyboard.
Niende kwenye mahakama ya Samia halafu nitegemee kupata haki! Kwanza huyo hakimu anajipenda mpaka anipe hukumu ya haki! Si kesho yake tu atastaafishwa kwa manufaa ya umma na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi!
 
Mkuu

Kinachomsumbua ni kiburi, dharau kwa wananchi wanaonyang'anywa mamlaka yao majivuno kwa kuwa kazungukwa na vyombo vya dola bila kujua hao hao anaojiaminisha nao ni sawa na kubonyeza 'trigger' kwenye bunduki iliyopakiwa risasi za moto. Kila serikali inapata mamlaka kutoka kwa wananchi lakini hili linapuuzwa kwa vile 'the degree of perseverance by the TZ citizens is at the high peak level to detonate the bombshell blast'
Rais wa nchi inamuongelea haumuongelea mwenyekiti wa VICOBA au admin wa group la whatsapp la wanafunzi mliomaliza nao pale chuo kikuu au secondary. Hafanyi kazi kwa kusikiliza maoni ya kila mwenye simu yake ya mkononi.

Anafanya kazi kwa mpangilio maalum na anao washauri tena wenye utaalam wa sekta wanazoziongoza.
 
Watu kuna vitu wanapuuza Ila ni vya msingi Sana.
Mtu Kama Samia , aliyekulia ZANZIBAR yenye kulea watoto Kwa misingi ya kiislam si rahis Sana kutishika au kuheshim Sana tamko la maaskofu.

Rais ni binadamu Kama binadamu wengine hivyo makuzi yake na Mila na desturi za alikokulia zinamuathiri Sana.
Maaskofu kuja na waraka ni kumkwaza rais SSH na washauri wake wengi alionao. Ni ukosefu wa adabu pia, ambao unatokana na viongozi wetu wa dini kujawa na jeuri ya watu wanaowasikiliza huko makanisani.

Network ya wataalam wa katoliki ndio inayowapa jeuri maaskofu na ukichanganya na elimu zao za juu wanajiona kwamba sauti zao zinapaswa kusikilizwa.

Machinery ya serikali haifanyi kazi namna hiyo. SSH anao wataalam wake na ndio wanaoandika ilani ya chama inayomuongoza yeye na serikali yake.
 
Hakujua tu kuwa Wananchi wana ubavu wa kufanya chochote kile wakikasirika.

Ajifunze yanayoendelea Sudani na Somalia.

Washauri wake wana kazi ya ziada kwa sasa.

Wamshauri vizuri kutokana na hali ya wananchi.
Wananchi wenyewe wepi watanzania au? Mbona unaleta utani?
 
Back
Top Bottom