Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Tanzania inajiendea tu kama Gari bovu lililokatika breki
Tutakupa wewe labda unaweza kuiendesha vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania inajiendea tu kama Gari bovu lililokatika breki
Wamemfikisha hapo , she should fire them . Mbona simple ?! Nasema something is wrong ? Some one is controlling her . Au she is on depression
Rais Samia huwezi shindana na taasisi kama TEC. Endelea kujifanya kibri na kushupaza shingo.
Hao wana mizizi mirefu utaumia.
Na yamemwagika vibaya yani kama kuna watu wanamshauri tofauti wanamdanganya hili limkataba wananchi wengi hawalitaki hata kabla ya tamko la TEC alielimwagia mchanga kajua kuliharibu na kama kiongozi angetumia busara ya kuachana nalo
Licha kudai kukaa kimya na kuendelea kukaa kimya kuhusu sakata la Bandari lakini bado akazungumza, hakukaa kimya kama alivyodai ina first statement.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "Hakuna mtu mwenye ubavu na misuli kuigawa nchi hii, kuiuza au kuharibu amani yake iliyodumu kwa miaka mingi".
Ni maneno mazuri lakini tusome between the lines ya maneno yake! Nini maana ya ubavu na msuli? Kwani Kuna kutunishiana ubavu na misuli?
Kwa wanataaluma ya lugha ya kuongea na mwili ni kwamba Samia amesema, "nimeshaamua, mimi ni mbele kwa mbele na hakuna wa kunizuia kwa namna yoyote". Isipokuwa ametumia kauli ya kiongozi kuficha makali. Hii maana yake yuko tayari kufamfanya lolote atakayetunisha ubavu au msuli.
Je, ubavu na misuli ya TEC haiwezi kumtisha Samia na CCM yake?
Alaaa, kama ni hivyo hebu jaribu kuikaribia hiyo break na ujidanye kama unaifunga vile uone kama kweli haina dereva au la.Tanzania inajiendea tu kama Gari bovu lililokatika breki
% 70 𝒂𝒖 𝒔𝒊𝒐 𝒎𝒌𝒖𝒖.Anajidanganya na vile vimazoezi vya kuvunja nazi kwa mikono siku ya uhuru .70% ya jeshi ni wakatoliki
Kabisa na zaidi .tunajuana kaka si kwa ubaguzi wenzetu kazi ngumu hamtaki .nyi mnapenda biashara maana mnathamini sana uhuru wenu% 70 𝒂𝒖 𝒔𝒊𝒐 𝒎𝒌𝒖𝒖.
Awamu hii ya 6 akili kubwa inatumika nguvu kidogo sana.Unakuwa Mbabe lakini tumia akilii kufanya maamuzi na mambo yenye Tijaa kwa jamiii.. sio diktata alafu mambo yanaendaa ovyooo tuu
TEC wame bugi step big time, watapuuzwa!. Wakati wanatoa tamko lao hawakuizingatia kauli hii ya Rais SamiaJe, ubavu na misuli ya TEC haiwezi kumtisha Samia na CCM yake?
Tueleze walipobugi kwenye hoja zile 7TEC wame bugi step big time, watapuuzwa!.
P
Mara ya kwanza nchi kuwa kwenye autopilot ilikuwa enzi ya Kikwete.Licha kudai kukaa kimya na kuendelea kukaa kimya kuhusu sakata la Bandari lakini bado akazungumza, hakukaa kimya kama alivyodai ina first statement.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "Hakuna mtu mwenye ubavu na misuli kuigawa nchi hii, kuiuza au kuharibu amani yake iliyodumu kwa miaka mingi".
Ni maneno mazuri lakini tusome between the lines ya maneno yake! Nini maana ya ubavu na msuli? Kwani Kuna kutunishiana ubavu na misuli?
Kwa wanataaluma ya lugha ya kuongea na mwili ni kwamba Samia amesema, "nimeshaamua, mimi ni mbele kwa mbele na hakuna wa kunizuia kwa namna yoyote". Isipokuwa ametumia kauli ya kiongozi kuficha makali. Hii maana yake yuko tayari kufamfanya lolote atakayetunisha ubavu au msuli.
Je, ubavu na misuli ya TEC haiwezi kumtisha Samia na CCM yake?
Kimsingi imezima hewani na pilot anasifiwa kwa utulivuMara ya kwanza nchi kuwa kwenye autopilot ilikuwa enzi ya Kikwete.
Safari hii rubani huko kwenye cockpit anacheza game kwenye simu na ndege haipo hata kwenye autopilot🤣
TEC wame bugi step big time, watapuuzwa!. Wakati wanatoa tamko lao hawakuizingatia kauli hii ya Rais Samia
View: https://youtu.be/fZ7MWhPeyko
P
Bado kakaza fuvu ngoja ufike uchaguzi ataona kama wananchi wamependa ay hawajapendaYani ile kauli imejaa kiburi, jazba ya kiwango cha juu sana kama kiongozi hakupaswa kusema vile,bado tunamsihi azingatie na kurekebisha maoni ya wananchi period
Niwapumbavu kama wewe unataka kutuaminisha Dr slaa ametumwa na hiyo tec nakama ndivyo sasa huu nimwisho wa wao kipelekesha serekali na serekali iachwe ifanye mambo take ilinchi isonge tukiendelea kuruhusu hawa waingilie maono yaserekali tutaendelea kubaki nyuma katika kosa nyerere alifanyakosa nihili kuwazoesha hawa watu kupenyeza kilewanacho kitaka serekali ifanye bilakujali kunawasiokuwa nadini na kunaimanizingineLicha kudai kukaa kimya na kuendelea kukaa kimya kuhusu sakata la Bandari lakini bado akazungumza, hakukaa kimya kama alivyodai ina first statement.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "Hakuna mtu mwenye ubavu na misuli kuigawa nchi hii, kuiuza au kuharibu amani yake iliyodumu kwa miaka mingi".
Ni maneno mazuri lakini tusome between the lines ya maneno yake! Nini maana ya ubavu na msuli? Kwani Kuna kutunishiana ubavu na misuli?
Kwa wanataaluma ya lugha ya kuongea na mwili ni kwamba Samia amesema, "nimeshaamua, mimi ni mbele kwa mbele na hakuna wa kunizuia kwa namna yoyote". Isipokuwa ametumia kauli ya kiongozi kuficha makali. Hii maana yake yuko tayari kufamfanya lolote atakayetunisha ubavu au msuli.
Je, ubavu na misuli ya TEC haiwezi kumtisha Samia na CCM yake?
Of all things...depression! Hakuna kitu hatari na cha kuogofya kama depression. It can drive someone to very etreme lengths, namely;Some one is controlling her . Au she is on depression
Busara angeendeleza ukimya wake au akajibu hoja zilizomo kwenye waraka wa TEC hata kwa kutumia wizara/vyombo vya dola husikaKayataka mwenyewe kuwasikiliza hao na nina imani walimwambia usihofu wabongo watapiga kelele mwanzoni then wataacha na maisha yataendelea sasa hili dubwasha la bandari linawaka moto kila iitwapo leo hata dalili za kuzimika hazipo[emoji16]