1120ulimwengu
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 252
- 422
Mwambie Mh.Samia Suluhu Hassan ajue kwamba ni bora nchi IGAWANYIKE kwasababu ya UKWELI kuliko iwe na UMOJA katika uovu na UONGO.UKWELI UTATUGAWA KWASASA LAKINI BAADAE UTATUPONYA LAKINI UONGO UTATUFARIJI KWA UMOJA NA UTULIVU KWASASA LAKINI BAADAE UTATUUUA!!
Mh.Rais elewa hili,'Utawanyamazisha wanaosema ukweli lakini huwezi kuuzima UKWELI!'Tunajua hasira zako zinatokana na wew kukutana uso kwa uso na UKWELI.Mheshimiwa Rais ukweli ni HATARI,ukweli huharibu falme,huangusha wakuu wa nchi,huharibu fahari za wakubwa na ukweli huua.Ukweli huamsha waliolala na wakabeba silaha.Ukweli huamsha machungu yaliyopita na maumivu ya muda mrefu.Ukweli ni mama wa kutopata usingizi!
Lakini kuna hatari nyingine mbaya ambayo ni ninyi mnaotaka kuuzima UKWELI.Mh Rais watu unaotaka kuwazima wameshachagua kuzimwa kuliko kujizima(kujifanya hamnazo/hawaoni uhovyo wa mkataba) kwahyo hasira zako hazimu'intimidate yeyote labda tu unawapa ari ya kuendelea kuisimamia kweli!
Mwisho Mheshimiwa Rais tunajua kwako na kwa chama chako hawapendi kusikia ukweli,ukweli ni lugha ngeni masikioni mwenu.Sasa tunataka tu ujue kwamba kwa hili kazi unayo kwasabab UKWELI umeamua kujianika na kwa hili kujinasua inabidi tu uachane na mkataba huo!