Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Ndiyo kiongozi. Kuna gari za wanawake na wanaume. Strange enough hatuwezi kutengeneza hata baiskeli.
Boss hii ni perception na mindset tu, hakunaga jinsia kwenye gari, kama ilivyo kwenye nguo kiasi ukivaa sketi mwanaume watu watakushangaa na kukuona kituko.....ndy mana hizo gari unazosema za wanawake wanaume pia huendesha!
 
Bei zake zimefika ngapi sasa hivi mkuu Mshana Jr?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishaliendesha Dar to Songea zaidi ya mara tano nilijikuta natumia akili nyingi sana, maana mimi napenda sana mbio, lakini lenyewe ukifika 140 unaona kabisa linataka kupaa. Nimebaki zangu na GX 110 ndo mpango mzima natembea hadi namaliza kisahani
Hahahaa. Eti kisahani. Tembea speed ya kwaida tu mkuu. Familia yako, ndugu zako na taifa bado linahitaji sana mchango wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora ukae 100-140 ukizid kwa corner inaweza kufanya yake! Haiko stable kwa corner in high speed ni gari ya suburban yaani siyo ya safari sana haiatmii barabara ishanitoa wenge mara nyingi tuu just dont overspeed.
Mkuu hata zile Lexus RX300 zina tabia sawa na Harrier?
Ukiondoa tako la fulani,je old model zake nazo vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Mkuu ,kuna mtu avuruga mipango ya watu sana. Hata Mimi huyu mnyama nilikuwa namvizia. Lakini kwa sasa hali siyo hali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss hii ni perception na mindset tu, hakunaga jinsia kwenye gari, kama ilivyo kwenye nguo kiasi ukivaa sketi mwanaume watu watakushangaa na kukuona kituko.....ndy mana hizo gari unazosema za wanawake wanaume pia huendesha!
Definitely ni mindset tu.
Kuna watu wanaamini kabisa unfortunately.
 
Nilishaliendesha Dar to Songea zaidi ya mara tano nilijikuta natumia akili nyingi sana, maana mimi napenda sana mbio, lakini lenyewe ukifika 140 unaona kabisa linataka kupaa. Nimebaki zangu na GX 110 ndo mpango mzima natembea hadi namaliza kisahani
Daah we Noma mkuu
 
Kapicha please
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wasiojua Harrier TAKO LA NYANI hii hapa

Jr[emoji769]
Hii gari inasimama sh ngapi mkuu ukiagiza? Binafsi napenda Sana harrier sema nilikuwa kaogopa mafuta, sasa Kwa kuwa mafuta sio issue kumbe naweza kuichukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…