Maono ya Karatasi nyeupe ya siri itakayofunguliwa 2025

Mzee wa Siri Warioba halafu atangaze mchakato wa katiba mpya uanze Ndipo uchaguzi utafata wa Demokrasia na tume huru!!lazima vigogo wa kijani watazimia na wengineo kufa na ndio mwisho wa kinyonga wa kijani kutawala TZ!
 
Unaposema "..anaheshimika na kukubalika na chama..", una maanisha chama gani?
 
Sina dam ya mtu awaye yeyote ktk uso wa dunia ila nimmoja ya watu ukinisikiza utaiponya nafsi yako maana Mungu amenipa uwezo wa ajabu sana.
Mbona husemi nilipo mwambia hayati JPM asikitaje kifo na yale yametokea some time....
Na je; vipi kama mwenyewe alikuwa anajua kitakachotokea?🤗
 
2025 Hakuna uchaguzi. Ni hatua za MWISHO za kukamilisha mchakato wa kupatikana KATIBA mpya 2026. Mzee Warioba atakuwa Kwa cabinet hiyo.

Mungu anapotuma ujumbe kuhusu jambo litakalotokea Husema na mtu zaidi ya mmoja bt Kwa same message. Baada ya hapo ndo unakuwa MWISHO wa Kinyonga wa KIJANI na MANJANO.
 
Hakuna siri duniani. Vyumba vinavyoitwa vya siri vimejaa watu sasa kuna siri tena hapo?
 
Na mimi naona haya yakienda kutokea.
 
Mzee wa Siri Warioba halafu atangaze mchakato wa katiba mpya uanze Ndipo uchaguzi utafata wa Demokrasia na tume huru!!lazima vigogo wa kijani watazimia na wengineo kufa na ndio mwisho wa kinyonga wa kijani kutawala TZ!
Wewe kwa akili yako kabisa unadhani kijani watajinyonga? Hilo halipo. Linapokuja suala la dola, kijani wote huwa kitu kimoja kuhakikisha wanatwaa na kumiliki dola hayo mengine wanayajenga wakiwa na dola.
 
Watu Kama nyie ndio mnasababisha mpaka kina MC Pili pili wamefungua makanisa
 
Ben saanane ameuawa na CDM wenyewe na DJ wenu anajua vizuri sana. Kabla Ben hajapotea alikua ni msaidizi wa karibu wa DJ lakini baadae wakamshtukia kwamba amepandikizwa anavujisha siri za chama, hivyo wakamuondoa kwenye hiyo nafasi wakamzuia pia asigombee nafasi yoyote kwenye chama ikiwemo BAVICHA kwa kulikata jina lake. Ben pia anasemekana alikwamisha project ya kumuondoa Zitto kwenye sura ya dunia. Yote haya, CDM ilishindwa kuyavumilia wakampoteza halafu zigo kama kawaida limeangushiwa Serikali.
 
Kuna mwamba mwingine anaitwa MAGAMBA MATATU. Huyo akisema jambo harudiagi mara mbili, lazima litimie. Tumia akili sijanote mambo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…