Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Labda itokee chuo hakina wanoko ama lah hao mabinti wawe na ushawishi na kibunda.Halafu pia wameharibu credibility ya chuo.
La sivyo wataumia tu bila kujali wana haki au hawana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda itokee chuo hakina wanoko ama lah hao mabinti wawe na ushawishi na kibunda.Halafu pia wameharibu credibility ya chuo.
Wako vzr matajiri hao...Basi wakifukuzwa Kaz na kupokonjwa degree wataenda kuuza nguo ,za baba Yao
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Yaah tuombe hivyo mkuu, hata mimi sitamani wapate doa maana sifa za viongozi wetu tunazijua.Wanasiasa wameipotezea sioni wakiizungumzia kwahyo haina Publicity sana..
Kwahyo haiwwzi kuwa hoja kisiasa na itakufa tu
Kumbuka assignment na test zote unarudishiwa mtiani isipokuwa mtiani wa mwsho unabaki kuleWako wataalamu wa muandiko. Watapitia maandishi yako na kuoanisha na yanayotajwa kuwa yako. Hapa huwezi dangaya hata kidogo. Bahati mbaya muandiko hata uigize namna gani ni ngumu kubadilisha everything.
Duuh,kumbe msala mkubwa hivi.Kama wana kazi wanafukuzwa. Na wanadaiwa mishahara. Na mwisho wanaenda mahakamani kesi ya kulaghai. Jamuhuri inachukua kesi.
😄 🤣 😂 mpakaUtasikia mama sa100 aingilia kati wasamehewa..huko?
Kuvuta hisia za watu kwenye chombo cha habari tena ukihusisha taasisi ya elimu kwa udanganyifu.labda maana afrika kwa hizi nchi nyeusi kila kitu kinawezekana.Ni ngumu kudhibitisha,un less chuo wa vidéo za CCTV. Halafu hao mapacha si wapumbavu,watajibu si kweli na walikuwa wanapamba content tu ili kuvuta hisia za watu.
😅😅Yaah tuombe hivyo mkuu, hata mimi sitamani wapate doa maana sifa za viongozi wetu tunazijua.
Ila wajifunze sasa.
Hata wewe usije ruhusu Mercy akafanya huo ujinga.
Chuo gani hicho hutunza karatasi za mitihani baada ya kuwapatia watahiniwa?Kesi ipo,na ushahidi utapatikana tu,kwa sababu wataenda kuangalia mitihani waliyofanya,kwa sababu huwa inahifadhiwa,then wanaweza kulinganisha miandiko
SIo rahisi kihivyo, waweza kusema walikuwa wanachangamsha genge.Walijua sifa. Kula vichwa. Haina haja kuchunguza si wamekiri wenyewe.
Tulia tuone. That's confession.SIo rahisi kihivyo, waweza kusema walikuwa wanachangamsha genge.
Labda wakiri kwenye kamati
Yeah...Kwa Africa inawezekana ila kwa wenzetuni kitu sensitive Sana maana elimu inaheshimikaKuvuta hisia za watu kwenye chombo cha habari tena ukihusisha taasisi ya elimu kwa udanganyifu.labda maana afrika kwa hizi nchi nyeusi kila kitu kinawezekana.
Kithibitisheje wakati wenyewe wamekiri kosa hadharani? Kilichopo ni kuwakamata na kuwafungulia mashtaka. Wakifungwa jela miaka 30 wakitoka hivyo vyeti vitakuwa havina maana tena.Chuo kitawezaje kuthibitisha hili?
Hamna kesi hapo Babalevo kuna kitu kakiongea hapo mwishoni listen carefully