Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Corona inaenda na wave ndugu.Nilidhani tu ni mimi niliyegundua hili.
Kuwa tangu JPM aende ni kama corona nayo haizungumziwi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Corona inaenda na wave ndugu.Nilidhani tu ni mimi niliyegundua hili.
Kuwa tangu JPM aende ni kama corona nayo haizungumziwi.
Jiwe angeweza kufungua kinywa angekujibuMungu wa mbinguni wewe humuamini sis tunamuamini na tunamuishi, ndiyo maana majaribio yote yanashinwa. Mungu akisimama wewe si chochote
Kwa hiyo hao milioni 36 ndo wabishi? Point yako ni; corona haiui sana! Basi tuseme hajafa hata Mtanzania mmoja ili kila mmoja akaye na extreme yake!Naam,ndo maana watanzania wengi wamepukutika sana, inakadiriwa kuwa takribani watanzania milioni 36 wamekwenda kwa korona.
Elimu gani? Kweli Covid haiui kama Ebola, lakini inaambukiza wengi zaidi. Hata kama asilimia ya wagonjwa wanaokufa ni ndogo zaidi, kama idadi ya wagonjwa ni kubwa , idadi ya wanaokufa inaongezeka.Kwa hiyo hao milioni 36 ndo wabishi? Point yako ni; corona haiui sana! Basi tuseme hajafa hata Mtanzania mmoja ili kila mmoja akaye na extreme yake!
Hivi ni kweli kabisa Rais Samia ana nia ya kweli ya kupambana na COVID-19?
Sijui kama na nyie mnafuatilia yanayoendelea huko India sasa hivi!
Akina Narendra Modi walikuwa huko West Bengal wanapiga kampeni za kisiasa utadhani hamna kesho. Ona sasa kilivyoumana.
Sasa kweli hiyo kamati aliyoiunda Rais Samia ili imshauri kuhusu corona ndo imemwambia kwamba ni sawa tu watu kwenda na kurundikana hapo uwanja wa Kirumba namna hiyo?
Ona hata hapo walipokaa hao viongozi! Hakuna social distancing. Hakuna barakoa. Hakuna tahadhari yoyote ile ya maana.
Hahahaaaaa…..what is this?
View attachment 1769853
Nimeota kuwa mchizi Covid anavuta tena mmoja hapo juu muda mfupi kutokea leo.Mkuu naungana na wewe kuhusu hili,Mama kama hajijali basi ajue yeye Raia namba moja, jambo lolote kuhusu yeye ni lenye maslahi mapana kwa Taifa.
Hivi hawaoni wazee wanampa ishara, wote wanavaa barakoa kwenye shughuli au anataka mpaka wamwambie kwa mdomo aseme wanawashwa.
Jamaa wanaishi ndotoni ni imani zao za giza! Corona ipo na inaua!Elimu gani? Kweli Covid haiui kama Ebola, lakini inaambukiza wengi zaidi. Hata kama asilimia ya wagonjwa wanaokufa ni ndogo zaidi, kama idadi ya wagonjwa ni kubwa , idadi ya wanaokufa inaongezeka.
Tanzania imebahatika hadi sasa kwa sababu sehemu kubwa ya maisha iko nje, na watu wengi hawaishi nyumba penye madirisha ya kioo inayotunza hewa ndani. Lakini India ilikuwa vile, sasa wamepata virusi vilivyobadilika . . .
kigogo ndio aliwaambia mipango anaumwa corona,jpm kafa kwa corona,kijazi pia ila akasahau kwamba viongozi waliokuwa karibu na hao hawajachanjwa wangechukua tahadhali tu.Kila mtu alimuona Mpango alivyokuwa anakohoa siku ile amefanya press conference baada ya kutoka hospital; huyu bwana aliponea chupu chupu lakini hata baada ya kupona corona bado havai barakoa wala hakai mbali na wenzie to social distance!! Hii ni hatari sana hasa kwa viongozi wenzie anaokutana nao kila siku!! Try to social distance, hata hao walinzi wa Rais pia wajitahidi kukaa mbali ,sometimes wanaonekana kuwa karibu sana na Rais na haijulikani wanakolala!!!
Amekwisha chelewa, juzi hapa nilisoma sehemu Waziri wa afya wa Uganda akiwasihi Indian Community nchini Uganda kwamba wawafichue Wahindi wanao ingia nchini Uganda wakitokea Nchini India hivi karibuni ili wawe Isolated kwa lengo la kuchunguzwa hali zao za kiafya!!Naona Museveni amezuia ndege kutoka India zisiingie Uganda!
Kuchunguza kama kweli ipoSasa kamati ya Samia ya nini?
Kwani Magu alitutangazia kwamba anaunda kamati ya corona?Wasukuma muacheni mama afanye kazi, nyi rais wenu ameshakufa, na Wala mlikuwa hamumwambii kuwa achukue tahadhali juu ya covid19, hadi ilipompitia ye mwenyewe,....
Hamna corona kwa mujibu wa nini/ nani? Kamati ya corona?Kuunda kamati ya kuchunguza uwepo wa Corona na kama chanjo zinafanya kazi ni jibu tosha. Tanzania hamna Corona.
Amandla...
Shida manyani hamuombi. Sisi tumeomba ndio maana Corona imetuogopa.Hamna corona kwa mujibu wa nini/ nani? Kamati ya corona?
Hivi wajumbe wa hiyo kamati ni akina nani? We Fundi Mchundo upo kwenye hiyo kamati?
Hakuna covid, ila kuna watu wanataka kulazimisha irejee kwa kuanza kupandikiza hofu. Japo wanaona aibu kwenda moja kwa moja hivyo wanajificha nyuma ya dude kamati.Sasa kamati ya Samia ya nini?
Hiyo ni mitazamo yake ya kiutandawazi kuwa corona ipo kwa kuwa tu hatukutumia mbinu "rasmi" kukabiliana nayo. Bali kwa mkazi yeyote wa Tanzania kwa sasa aliye timamu, hakuna corona.Sasa kamati ya Samia ya nini?
Kwani mkuu, kisaikolojia unadhani ni nini kinaongeza hofu? Kuzuia mikusanyiko au kuiruhusu, katika wakati kama huu ambapo ni ngumu kumpata mgonjwa wa covid?Rais Samia alisema keshaunda kamati ya corona!
Hiyo kamati ndo imemshauri haya mambo ya mikusanyiko ya watu wengi hivi iendelee?
She is not serious about!
Naona alisema kaunda hiyo kamati kuwaridhisha tu baadhi ya watu.
Maana haiingii akilini kabisa…
Wapo walioishi kwa imani uliyonayo na leo wamebadilika au kwa kulazimisha ama kwa kuadhibiwa.Mungu wa mbinguni wewe humuamini sis tunamuamini na tunamuishi, ndiyo maana majaribio yote yanashinwa. Mungu akisimama wewe si chochote
Kamati imeundwa tayari? Huyu alisema “anakusudia” kuunda Tume. Saying ain’t doingSasa kwa nini aliunda kamati ya corona?Au ni mwanya na fursa ya kupiga hela?