Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

Kama nia ni kutangaza utalii hiyo documentary wangefungua channel youtube waweke huko watu waangalie bure, tena wawalipe youtube ili iweze kuonekana kwa watu wengi, hizi story za kulipisha ndio haitaonekana kabisa na nia nzima ya kukuza utalii itakuwa useless
 
Mkuu Kama Taifa shida yetu ni mapato,

AMAZONI ni mtandao unaoaminika sana duniani ,

Kuipeleka YouTube ni kuishusha tu,
 
Ubunifu wenye akili,hiyo ni just the biggining..

Bil.7 za wadau vs Til.1.5 👍👍♨️♨️
 
Safi Sana,Samia anawaza ni namna gani Nchi itaingiza pesa, mwendazake alikuwa anawaza jinsi gani atawaziba watu pumzi na vinywa vyao hili akwapue,

Apotelee mbali bwana yule huko ardhini!!
 
Huyu Mama 2025 atashinda kwa zaidi ya 80% nawahakikishieni,

Mama Samia ni mtu wa mipango sana,
Sio atashinda kwa 80%,bali kwa 100% kabisa,Samia Ni Rais muadilifu,sio Kama bwana yule mzalendo uchwara!
 
hao 175 milion customer wa Amazon hata 1% hawataangalia hiyo movie, Amazon kuna movie zaidi ya laki moja na ukipata view laki moja una bahati
Wafuasi mazezeta wa maggufuli mna chuki na Nchi yenu,hameni Nchi
 
Ngoja tusubiri kwanza warudi ili tujuwe tunapataje mahela out of that tour,maana sisi wengine tuliosomea chini ya mwembe tunaona mauzauza tu.....
 


Ignorance is bliss

Ebu angalia orodha ya sinema 1000 zilizoingiza mapato makubwa tangu zinaonyeshwa kwa mara ya kwanza.

Kwenye hiyo orodha kuna X-Men, Madagascar, Despicable Me, James Bonds (zote) na 900+ other movies considered as top earners, dunia nzima inazijua mpaka leo hazijafikisha hayo mapato unayodhani ‘Royal Tour’ itatengeneza kwa mwaka.

Na nyingi ya hizo sinema sio tu zipo kwenye digital platform zote; bali zinachezwa kwenye TV za nchi nyingi duniani kwa kulipiwa mpaka half a million dollar.

Ingekuwa kutengeneza $500m rahisi ivyo nani angelipa actors fees tu $10m+ kwa wenye majina yao. Wakati unaweza kwenda Africa, kwa $3 million ukashoot wanyama ukatengeneza hela unazosema.

Akili zetu watanzania zinatutosha wenyewe.
 
Mkuu Kama Taifa shida yetu ni mapato,

AMAZONI ni mtandao unaoaminika sana duniani ,

Kuipeleka YouTube ni kuishusha tu,
Mapato??? hivi idea ya hii movie ni mapato kutokana na mauzo ya movie au kuitumia movie kutangaza utalii ili kujenga soko na mwisho wake kufanya mapato yaongezeke, naona wengi humu mmechanganyikiwa tuu
 
Hongera sana Mama. Ila naogopa sana mnaoleta hesabu za kutoa na kujumlisha.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…