Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

Kwani mwenye hati miliki ya hiyo film ni nani? Huyo mwenye hati miliki ndiye mwenye bunda, waigizaji na washangiliaji chao ni mabaki mezani.
 
OK. It is sounding too sweet to come true. Anyway, let us wait to see.
 
MH. SAMIA SULUHU HASSANI ana akili nyingi sana

wanaomu-underate BADO WAKO GIZANI AU HUENDA PIA WAMEHAMISHA FIKRA ZAO KTK CHUKI BINAFSI hivyo hawataweza kung'amua mazuri yake ingawa moyoni wanakiri kuwa MAMA ANAUPIGA MWINGI.
 
hesabu za kufikirika hizi hazina uhalisia unamaana wanunuzi/wakodiji woote huko amazon wataipenda royal tour hadi udai crew nzima wainunue mbona kila mtu ana uchaguzi wake za kichina,kivita,utalii,zombies yaan kila upande una mashabiki wake..na hao wanunuzi million 100 unaosema ni kwa filamu za aina zote na mapendeleo tofauti ya watu
 
MH. SAMIA SULUHU HASSANI ana akili nyingi sana

wanaomu-underate BADO WAKO GIZANI AU HUENDA PIA WAMEHAMISHA FIKRA ZAO KTK CHUKI BINAFSI hivyo hawataweza kung'amua mazuri yake ingawa moyoni wanakiri kuwa MAMA ANAUPIGA MWINGI.
Naungana na wewe kwa 100%
 
Sasa hapo lengo la film ni kutangaza utalii au kuuza film???? Mtoa mada tunaomba relation ya hiyo film na growth ya utalii, sio mauzo ya hiyo film.
 
100M ni makadirio ya chini jombaa,
 
Kabla ya kuleta faida za kufikirika,tuambieni kwanza gharama za Hangaya kukaa Marekani pamoja na timu yake ni kiasi gani mpaka sasa
 
Kwani raisi wamemzuaia kuonesha talent yake katika sekta ya film,
 
Kuna Ngosha mmoja anakwambia kodi zetu zimepotea bure, Samia anatumia kodi zetu vibaya na wizi umeanza kurudi.

Kulaumu ni kazi nyepesi sana, lakini siku zote ni kielelezo cha uvivu wa kutumia akili ipasavyo. Ni kielelezo cha umaskini wa kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…