Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Asante mkuu kwa kuwa mkweli kwa nafsi yako. Halafu tafiti zinaonesha kwamba mapenzi ambayo uchumi uko stable yana amani sana ukilinganisha na yale ya tia maji tia maji.
Uzuri ukiwa na hela hata akichepuka heshima iko palepale maana anajua akiachika atakalia kuti kavu.

Wale wa tia maji lazima udharaulike utaanza kulinganishwa na wenye pesa yaani full dharau na heshima less
 
Mashangazi wastaarabu sana huduma muda wote,hakuna likizo za ghafla.
 
Bujibuji Simba Nyamaume Uzi wako
 
Wanajua kupenda...wapo romantic, vizawadi vya hapa na pale, anakufanya unajiona mtoto unaweza ukawa unachekacheka kama boya.
 
Kwenye utelezi hawafanyi kwa kukomoa kwakuwa wao tayari nguvu zilishapungua so hakuna zile mambo za kufanya kama tupo kwenye mashindano ila pre-game ndo makeke mengi yawepo.
Hatimaye tumefikiwa, aise tuko na mambo mengi sana shots 6 za Ninil🤔
Kwa mchepuko ni kutumia ela na kupet pet tu.
Mbili tatu za uhakika pesa mingi yaani freshiiii Kwa afya tu🤛
 
Wanajua kupenda...wapo romantic, vizawadi vya hapa na pale, anakufanya unajiona mtoto unaweza ukawa unachekacheka kama boya.
Acha tu yanii .. They Don't complicate issues iama hawa vichomiii!
Yani mtu unaenjoyyy hadi basiii ni nirahaa ni burudaniiiii ni amani na utulivu tu nyieeeee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Hatimaye tumefikiwa, aise tuko na mambo mengi sana shots 6 za Ninil🤔
Kwa mchepuko ni kutumia ela na kupet pet tu.
Mbili tatu za uhakika pesa mingi yaani freshiiii Kwa afya tu🤛
Yeah umepigilia msumari
Kudumu masaa na masaa kwenye sex nako ni kutokuwa na majukumu asee.
Mtu una miradi debe hata mingine huijui unachotaka ni kulala kifuani huku unakunwa kunwa kichwa na kubembelezwa sio heka heka
 
I always date chicks na sio mashangazi ngoja ni taste utamu wa mashangazi Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…