Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

-acha umalaya
- Acha njaa
 
Yeah umepigilia msumari
Kudumu masaa na masaa kwenye sex nako ni kutokuwa na majukumu asee.
Mtu una miradi debe hata mingine huijui unachotaka ni kulala kifuani huku unakunwa kunwa kichwa na kubembelezwa sio heka heka
🤣🤣🤣 kwa hiyo mnawashaurije vijana?
 
Hauna wa akiba umrushe pande hi chap😎
 
-punguza njaa utapakuliwa kinyesi
Huwa sipendi negative arguments na ndo maana huwa najibu polite...
Account yangu inasoma vizuri tu...elimu yangu ni kubwa tu na exposure yangu duniani ni kubwa tuu. So sina njaa kama udhaniavyo.

Ila ushauri wa bure ninaokupa kila daraja lina abiria wake. Siku njema sitakujibu tena.
 
Kiujumla mwanamume kuanzia miaka 50 ndio unaanza kuyafurahia mapenzi....miaka hiyo ndio unawaka ujana Ile mbaya na ukibahatika kuwa na kipato ndio kabisa....kama hutojizuia utajikuta unazikwa mapema........

Huwezi kupiga bao nyingi kama kuku lakini hilo moja linaweza kuchukua hata lisaa lizima......

Nashangaa mtu wa miaka 50 anaitwa mtu mzima.....nikisikia hivyo huwaga nafurahi sana na kuguna.......ngoja niishie hapa nisitoe Siri ya Kambi.......
 
Binti nakushauri usipende kujibu negative comments.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…