Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Basi vijana wanaozunguka na bahasha mjini kutafuta ajira wananisonya kimya kimya.....
Watakuwa wazee tu ila watafute kwa bidii ili uzee wao uwe mzuri.
Eeeh Mungu nilindie huyu mzee....
Hahahaaa... Nakaziaaaaaaaaaaaaa lol! Mungu awalinde na kuwabariki zaidi na zaidiii kwakweli!!
 
Mtoa mada aiseee kunywa Mo chungwaa ya baridiiii😍
 
-Jf Kila Mtu ana elimu kubwa na exposure kubwa,
- lakini hoja inabaki pale pale kuwa Unapenda watu wazima Kwa sababu ya kuomba pesa na njaa zako.
 
Hahahaaa... Nakaziaaaaaaaaaaaaa lol! Mungu awalinde na kuwabariki zaidi na zaidiii kwakweli!!
Aminaaaaaa
Yani wanatatua tatizo kuanzia kwenye chanzo.....
Akiona ww ni wa vizinga anajua shida si wewe ni chanzo cha mapato huna anafungua biashara au kama una elimu anakuweka mahali.
Mi5 tena kwa watu wazima. Ukiona hupendi basi usipite kwenye huu uzi.
 
Nilimpata mtu mzma huyo mambo yalininyookea sana,sijui alikua na nyota gan yule mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…