Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Hii imekaa kiupande m'moja sana, kuna upande wa uharibifu hapa haujaongelea. Sidhani kama ni sawa kwanza kudeal na watu waliokuzidi umri.

Mtu ameshatumia ujana wake halafu uzee ndio aje kutumia na wewe?!

Hapo me nadhani unakuwa na lengo la kufaidika kiuchumi tu na si vinginevyo.
Halazimishwi mtu, na hii ni kwa wote...wanawake kwa wanaume. Tena wanawake ndiyo basi, sema tu mwanaume anaweza kuoa msichana mdogo, lakini wanaume wachanga wanaogopa kuchekwa kwa kuoa "sugar mammy". Wasichana wadogo wanaona kuolewa na wazee ni fursa...angalia ndoa ya Jacqueline na Mengi, unafikiri Jacqueline alijali umri. Yeye kulala na kuamka kawa millionaire, Mungu ampe nini. Ila wenzetu wanawake akiwa na pesa akaolewa na kabenten akifa ndugu zake wanakuja kukafukuzia mbali kabenten...there is security to be married to an old man but there is no security to be married to an old/older woman if you a "kibenten".
 
Sio wanajitambua 😊

Hapati raha na amani kwenye ndoa yake. Wewe upo kama chombo cha faraja tu.

Imagine na wewe ndo ungekuwa unaibiwa mumeo nje kwa kupewa faraja na mwenzio, inamana wewe ni useless! Imagine maumivu yake na huenda mwanamke mwenzio kule hana chochote anachopewa lakini haki yake yote unaizuia wewe. Kaa ufikirie maumivu yake

#KarmaIsReal
Ndugu kila mtu apambane na hali yake. Jukumu langu ni kumfariji kama ambavyo yeye ananifariji.
Hata wa kwangu anaibiwa vile vile.
Sharing is caring.
 
Nyie ni walokole eeh?
Hapaana Mkuu sisi ni wa Wakristo lakin ni kati haya madhehebu mawili makuu nchii hii
nahutajawahi kuwa na shida mkuuu na kingine unatakiwa sisi sote ni first born kwa wazazi wetuuu mkuuu soo hakuna madekoo
 
Mwanzo huwa vinafata pesa lakini vingine kadri siku zinavyoenda kanazoea na kumuona huyo mzee kama kijana na kanazama penzini kabisa hata sumu kanaweza kunywa hasa huyo mzee wa miaka 50 akiwa anajua na kubandua
Hapo mwishoni ndo pa msingi,, mtoa mada kaongea vitu muhimu lakini namba 5 yake sio kwa watu wazima wote,, wengine sie namba 5 tunaizingatia sana,

Umpate mtu mzima na ajue kubandua, unaweza mpa hadi maini akayakaange manioko
 
Kitu kinachohusisha hisia lazima ukifanye kwa ustaarabu na heshima ya hali ya juu mbali na hapo utaonekana kenge tu. Na ustaarabu na heshima zinaanzia kwenye malezi huwezi kuta mtu kalelewa kwenye maadili na misingi fulani akawa kima omba omba asiejielewa. Watu wazima wenyewe kama hawakukulia mazingira ya kujitambua bado ni mtihani. Nina ndugu yangu anamatatizo sana na mkewe kisa bado anafanya mambo ya utoto na ni age go
 
Hapo mwishoni ndo pa msingi,, mtoa mada kaongea vitu muhimu lakini namba 5 yake sio kwa watu wazima wote,, wengine sie namba 5 tunaizingatia sana,

Umpate mtu mzima na ajue kubandua, unaweza mpa hadi maini akayakaange manioko
Am open for criticisms ...
Asante kwa kuona hilo mkuu. Wapo wanaojua kuvuruga maini na utumbo hadi uombe break
 
Hapaana Mkuu sisi ni wa Wakristo lakin ni kati haya madhehebu mawili makuu nchii hii
nahutajawahi kuwa na shida mkuuu na kingine unatakiwa sisi sote ni first born kwa wazazi wetuuu mkuuu soo hakuna madekoo
Nimewapenda bure bure
Mungu awalinde hata mwenzako akizeeka haraka umvumilie
 
Halazimishwi mtu, na hii ni kwa wote...wanawake kwa wanaume. Tena wanawake ndiyo basi, sema tu mwanaume anaweza kuoa msichana mdogo, lakini wanaume wachanga wanaogopa kuchekwa kwa kuoa "sugar mammy". Wasichana wadogo wanaona kuolewa na wazee ni fursa...angalia ndoa ya Jacqueline na Mengi, unafikiri Jacqueline alijali umri. Yeye kulala na kuamka kawa millionaire, Mungu ampe nini. Ila wenzetu wanawake akiwa na pesa akaolewa na kabenten akifa ndugu zake wanakuja kukafukuzia mbali kabenten...there is security to be married to an old man but there is no security to be married to an old/older woman if you a "kibenten".
Woraaaaayyyyyyyyyyyyy
Waambie mwaya...hakuna aliyeshikiwa fimbooo. Long live baby daddies
 
To be specific me nalenga wa above 50 japo nao sio wote ndo maana nimeweka wanaojitambua
Fanya kuanzia 45 hapo hata nguvu wanazo wengi wao na anakuwa kijana bado usiombe umpate wa rika hilo,,

Japokuwa wengi wameoa au single daddies ila tunabanana nao hivyo hivyo ni watamu jamani hao watu,😋😋😋
 
45 ni watamu sana ila sasa bado bado wana mambo mengi sana
 
Back
Top Bottom