Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu la dharau sana utashambuliwa hadi ukome sabb umepiga kwenye mshono wanaishi kiujanja ujaja yupo mtegoni hapo kuna boya atanasa[emoji23][emoji23]Njaa zako ndiyo zinakupeleka Kwa Watu wazima, halafu unaweza kukuta una sura kama Mayele
Mshangazi Ukiwa salama kiafya kwa kweli ni mtamu 😁👍🏾Leo kila ninakoingia nakuta stori hizi ila truth be told mishangazi ni mitamu jamani
Halazimishwi mtu, na hii ni kwa wote...wanawake kwa wanaume. Tena wanawake ndiyo basi, sema tu mwanaume anaweza kuoa msichana mdogo, lakini wanaume wachanga wanaogopa kuchekwa kwa kuoa "sugar mammy". Wasichana wadogo wanaona kuolewa na wazee ni fursa...angalia ndoa ya Jacqueline na Mengi, unafikiri Jacqueline alijali umri. Yeye kulala na kuamka kawa millionaire, Mungu ampe nini. Ila wenzetu wanawake akiwa na pesa akaolewa na kabenten akifa ndugu zake wanakuja kukafukuzia mbali kabenten...there is security to be married to an old man but there is no security to be married to an old/older woman if you a "kibenten".Hii imekaa kiupande m'moja sana, kuna upande wa uharibifu hapa haujaongelea. Sidhani kama ni sawa kwanza kudeal na watu waliokuzidi umri.
Mtu ameshatumia ujana wake halafu uzee ndio aje kutumia na wewe?!
Hapo me nadhani unakuwa na lengo la kufaidika kiuchumi tu na si vinginevyo.
Ndugu kila mtu apambane na hali yake. Jukumu langu ni kumfariji kama ambavyo yeye ananifariji.Sio wanajitambua 😊
Hapati raha na amani kwenye ndoa yake. Wewe upo kama chombo cha faraja tu.
Imagine na wewe ndo ungekuwa unaibiwa mumeo nje kwa kupewa faraja na mwenzio, inamana wewe ni useless! Imagine maumivu yake na huenda mwanamke mwenzio kule hana chochote anachopewa lakini haki yake yote unaizuia wewe. Kaa ufikirie maumivu yake
#KarmaIsReal
Mh mbona tafiti zihaonesha age btn 15 to 22 ndo wenye hiv zaidi kuliko age group zingine?Watu wazima ndio wanatuponza sisi vijana maana wanatembea na mademu wadogo na kuwapa UKIMWI afu wanawaambukiza vijana wenzao.
Waambie bhana,,wanatubambikizia bure.Mh mbona tafiti zihaonesha age btb 15 to 22 ndo wenye hiv zaidi kuliko age group zingine?
Waacheni wazee wetuu
Hapaana Mkuu sisi ni wa Wakristo lakin ni kati haya madhehebu mawili makuu nchii hiiNyie ni walokole eeh?
Hapo mwishoni ndo pa msingi,, mtoa mada kaongea vitu muhimu lakini namba 5 yake sio kwa watu wazima wote,, wengine sie namba 5 tunaizingatia sana,Mwanzo huwa vinafata pesa lakini vingine kadri siku zinavyoenda kanazoea na kumuona huyo mzee kama kijana na kanazama penzini kabisa hata sumu kanaweza kunywa hasa huyo mzee wa miaka 50 akiwa anajua na kubandua
Am open for criticisms ...Hapo mwishoni ndo pa msingi,, mtoa mada kaongea vitu muhimu lakini namba 5 yake sio kwa watu wazima wote,, wengine sie namba 5 tunaizingatia sana,
Umpate mtu mzima na ajue kubandua, unaweza mpa hadi maini akayakaange manioko
Nimewapenda bure bureHapaana Mkuu sisi ni wa Wakristo lakin ni kati haya madhehebu mawili makuu nchii hii
nahutajawahi kuwa na shida mkuuu na kingine unatakiwa sisi sote ni first born kwa wazazi wetuuu mkuuu soo hakuna madekoo
WoraaaaayyyyyyyyyyyyyHalazimishwi mtu, na hii ni kwa wote...wanawake kwa wanaume. Tena wanawake ndiyo basi, sema tu mwanaume anaweza kuoa msichana mdogo, lakini wanaume wachanga wanaogopa kuchekwa kwa kuoa "sugar mammy". Wasichana wadogo wanaona kuolewa na wazee ni fursa...angalia ndoa ya Jacqueline na Mengi, unafikiri Jacqueline alijali umri. Yeye kulala na kuamka kawa millionaire, Mungu ampe nini. Ila wenzetu wanawake akiwa na pesa akaolewa na kabenten akifa ndugu zake wanakuja kukafukuzia mbali kabenten...there is security to be married to an old man but there is no security to be married to an old/older woman if you a "kibenten".
Nawapenda hao watu namna hiyo, namshukuru Mungu kanitunuku libaba langu amazing kabisa 😍😍Am open for criticisms ...
Asante kwa kuona hilo mkuu. Wapo wanaojua kuvuruga maini na utumbo hadi uombe break
Fanya kuanzia 45 hapo hata nguvu wanazo wengi wao na anakuwa kijana bado usiombe umpate wa rika hilo,,To be specific me nalenga wa above 50 japo nao sio wote ndo maana nimeweka wanaojitambua
45 ni watamu sana ila sasa bado bado wana mambo mengi sanaFanya kuanzia 45 hapo hata nguvu wanazo wengi wao na anakuwa kijana bado usiombe umpate wa rika hilo,,
Japokuwa wengi wameoa au single daddies ila tunabanana nao hivyo hivyo ni watamu jamani hao watu,😋😋😋
Sio sana kihivyoo wako bomba mbayaaa kabisa ni zaidi ya watamu,45 ni watamu sana ila sasa bado bado wana mambo mengi sana