Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Jibu la dharau sana utashambuliwa hadi ukome sabb umepiga kwenye mshono wanaishi kiujanja ujaja yupo mtegoni hapo kuna boya atanasa[emoji23][emoji23]
-Hao tunawajua Nina bosi wangu Fulani mtu mzima jamaa anakwambia wadada wanamsumbua sana, wanamsifu anajali, jamaa yeye huwajibu kifupi tu Sina hela za kuhonga
 
Context uliyochukulia ni nzuri maana wengi katika age iyo washapoa na wametulia ,ila wapo wenye tabia izo hata vijana wa 30's .

Bahati mbaya wale malecturers walikamatwa kwa kesi za rushwa ya ngono wote wako 55 -60 .
-kuna yule wa NIT alipigwa faini ya Million 5 Kwa kosa la kuomba rushwa ya ngono, aibu tupu
 
Ndugu kila mtu apambane na hali yake. Jukumu langu ni kumfariji kama ambavyo yeye ananifariji.
Hata wa kwangu anaibiwa vile vile.
Sharing is caring.
Kheee! Kumbe una mume na wewe lakini na huku nje unaliwa tena na mume wa mwingine?! 😳🤔🤔🤔

Nyie wanawake nyie😔😔😔

#kataaNdoa
#AfyaYaAkilinaMwiliNiMuhimu
#KataaNdoa
#TheseHoesAintLoyal
 
Fanya yoote duniani!, Lakini furaha na Amani ya nafsi, peace of mind,

Inapatikikana pale utakapokuwa umemmliliki huyo mtu mzima, hapa namaanisha mtu mzima lakini awe (sahihi!)

anaepaswa kuitwa mume ama baba wa familia, na sio baba jeni!!

Mkiwa mwili mmoja- mke na mme mkilea familia, hakuna maisha yenye furaha na Amani kama hayo.
Una busara nyingi kwa uzi wa kimasihara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapo mwishoni ndo pa msingi,, mtoa mada kaongea vitu muhimu lakini namba 5 yake sio kwa watu wazima wote,, wengine sie namba 5 tunaizingatia sana,

Umpate mtu mzima na ajue kubandua, unaweza mpa hadi maini akayakaange manioko
Aki-cum napo unayamezeamo mautelezi yake au sio?! 😀😀😀😅🙌🏾
 
Linakukunja kwa bed kama vile mnacheza filamu ya ngono au sio?! 😀😀😅😅😅👍🏾
Zaidi ya hivyo yani😂😂 linakunja nyama haswa, linathamini umuhimu wangu maishani mwake,, yani napendwa jamani mpaka naona km naota, nimefanya nini kustahili haya yote,, changamoto zipo ila namshukuru Mungu kajua kunifuta machozi yangu
 
Back
Top Bottom