Only Big Mind will understand you🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨Ukikomaa akili ya kujua unataka nini.... Yani two hours nyingi saana kumjua MTU.
Tatizo vijana drama nyingi saana matokeo yake SASA....
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaachiks mara ngapi ? Jambo lolote lenye kiapo na maagano ukienda kinyume chake unajitafutia laana! Kuachana Kuna hasara nyingi kuliko faidaNdoa ni Gereza kwa Christians ila kwa Muslims it’s simple and easy..no more stress no more Depression
Mmeshindwana UNALIMWA TALAKA kila mmoja na hamsini zake japo TALAKA ni jambo lenye kumchukiza sana MWENYEZI MUNGU lakin kama shari ni nyingi kuliko kheri your free to go.. your free to separate.
#KUBALI NDOA