Mapenzi ya kukukutana masaa mawili na kushinda pamoja ni hadi jumapili ni ngumu sana kujuana, hii ndio sababu ndoa zinavurugika mkianza kukaa pamoja

Mapenzi ya kukukutana masaa mawili na kushinda pamoja ni hadi jumapili ni ngumu sana kujuana, hii ndio sababu ndoa zinavurugika mkianza kukaa pamoja

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Usije kumpima mwenza wako kwa yale masaa machache mnayopanga mkutante sehemu flani, out za weekend ama baadhi ya siku yeye kuja kulala kwako hasa katika ulimwengu huu wa sasa wenye teknolojia ya mawasiliano kama simu.

Kuna mengi sana ambayo mtu ulienae huwezi kuyajua atafeki kwa muda mchache mlionao, ila mkianza kuishi nyumba moja na kila siku mnaamka wote pamoja hio ni case nyingine kabisa, kufeki nako kunaanza kuwa ngumu na ndio hapa visa na visanga huanza kuibuka.
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, ikiwezekana iingiliwe kwa kushauriwa na iwe kabla ya ndoa pia....

Mkuu ndoa ukiingia basi yaliyomo ndani ni siri yako, ama sivyo kubali kupotea kwa washauri wengi maana kila mtu ana namna yake ya kuitikia mambo....
 
Ndoa ni Gereza kwa Christians ila kwa Muslims it’s simple and easy..no more stress no more Depression

Mmeshindwana UNALIMWA TALAKA kila mmoja na hamsini zake japo TALAKA ni jambo lenye kumchukiza sana MWENYEZI MUNGU lakin kama shari ni nyingi kuliko kheri your free to go.. your free to separate.

#KUBALI NDOA
 
Utaachiks mara ngapi ? Jambo lolote lenye kiapo na maagano ukienda kinyume chake unajitafutia laana! Kuachana Kuna hasara nyingi kuliko faida
 
Back
Top Bottom