NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Usije kumpima mwenza wako kwa yale masaa machache mnayopanga mkutante sehemu flani, out za weekend ama baadhi ya siku yeye kuja kulala kwako hasa katika ulimwengu huu wa sasa wenye teknolojia ya mawasiliano kama simu.
Kuna mengi sana ambayo mtu ulienae huwezi kuyajua atafeki kwa muda mchache mlionao, ila mkianza kuishi nyumba moja na kila siku mnaamka wote pamoja hio ni case nyingine kabisa, kufeki nako kunaanza kuwa ngumu na ndio hapa visa na visanga huanza kuibuka.