Ulkuwa sahihi, nauli ya buku ukiomba mtu anaona hapa mbona nimejishusha sana, japo wengine hatuna maneno ya "it's not my type 'Dah, hii kali. Sikumbuki katika mahusiano yangu kama niliwai kuomba nauli za hapa na pale. Kumbe nlikua nakosea[emoji3][emoji3]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Muhimu hapa ni kujigusa kwa kile alichonacho, kama kuna upungufu wataongezeana kwa makubaliano; sasa ile ya kutumiwa 100%, huo unakuwa ni mzigo ndio unaosafirishwaHivi ili iwe nauli ni kianzia sh. ngapi? Kwa hiyo ata ukirequest sehemu ya aftano au aftatu nayo utaomba? Au ulipanda daladala 600 nayo utaomba?
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Hukukosea ulifuata moyo wako na ukaonesha uwezo wako. Kama mwanaume anakuhudumia vizuri na una kipato pia yanini uanze kuwa omba omba?Dah, hii kali. Sikumbuki katika mahusiano yangu kama niliwai kuomba nauli za hapa na pale. Kumbe nlikua nakosea[emoji3][emoji3]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Nikishawahi kumlipia mwanamitindo Moja wa nchi Jirani nauli ya ndege 3 times nivyoona amezidi nikamwambia Sasa basi inaonekana nitakuwa pesa yote inaishia kwenye nauliza ndege. Aliumia sana I could see it from her response na aliniekeza kuwa Bado mwanafu zi hivyo angekuwa na kazi angekuwa anajilipia.au sio mbwembwe mingii ...
tiketi ya ndege si hadi uwe na iyo value..
unafikiri kama kigarula nani a risk mzigo wake wote ? Kama unayo unatoa waungwana wanarudhisha na zaidi.. maana inaonesha kidogo ka akili ka kujielewa
Wengi wako hivyo, na hawawezi kutatua changamoto yoyote pale mambo yako yatakapoenda wrongWanaume tunapitiaga magumu sana.
Kuna kipindi unakutana na demu mrembo lakini ni KAUSHA DAMU🤣🤣🤣
Kibaya zaidi hizo pesa hawafanyii jambo lolote la maanaWengi wako hivyo, na hawawezi kutatua changamoto yoyote pale mambo yako yatakapoenda wrong
Hao ni wakupiga chini kabisaInategemea na mtu na mtu. Kuna KE hata uwagaramie vipi hawakuthamini kwa kigezo kuwa n wajibu wako.
Ni gold digger wako kutafuta helaNaonaga kama wana ka udwanzi hivi flani, hasa wanapo amua na ku diss african man..
So, you're done dating Africans! Dada unaonekana kwa mwandiko wako sio haba, mimi huyu nitume ticket ya pipa...nitakuwa na kichaa wallah tenaUko sahihi so long as you do what's makes you happy no offence.am just saying you know!
Maana mko kimaslahi zaidi. Na wao wanawaoenda maana wanajuta you are so cheap when you see the light skinsWacha tuwape joto cold blood
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu baba mioyo yetu ina siri nyingi hatari.
Kuna KAUSHA DAMU flani huyo aliye naye sasa ninampongeza sana[emoji23]
Blarrifaken robosha lalala[emoji1787][emoji1787]
Hahaha enjoy mama, japo najua fika hiyo ngozi haiwezagi mikito ya kiafrika lkn ni watundu sana...fore play wanaiweza sana.Wacha tuwape joto cold blood
Boma yeeee nothing personal here you know!Maana mko kimaslahi zaidi. Na wao wanawaoenda maana wanajuta you are so cheap when you see the light skins
Kwa upande huo wanaofagilia wanaoneka very cheap sema hawajui tu.Naonaga kama wana ka udwanzi hivi flani, hasa wanapo amua na ku diss african man..
Kibaya zaidi hizo pesa hawafanyii jambo lolote la maana
Huyo ni manka?Wapo baadhi, kuna mmoja nilikuwa naye miaka ya nyuma ila alikuwa anatupanga, amefanikiwa kuwa na nyumba mbili, usafiri n.k ila alikuwa akija kukutana na wewe anakuwa na uhakika wa kuondoka na kiasi fulani.
Usijali mkuu wakati ukifika utatuma mwenyewe. Uishi miaka mingi eehSo, you're done dating Africans! Dada unaonekana kwa mwandiko wako sio haba, mimi huyu nitume ticket ya pipa...nitakuwa na kichaa wallah tena
Atakuwa pisi kaliSo, you're done dating Africans! Dada unaonekana kwa mwandiko wako sio haba, mimi huyu nitume ticket ya pipa...nitakuwa na kichaa wallah tena
Mwandishi huyu hakuna kitu hapoSo, you're done dating Africans! Dada unaonekana kwa mwandiko wako sio haba, mimi huyu nitume ticket ya pipa...nitakuwa na kichaa wallah tena