mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Hiyo haina shida, lakini ile hali ya kuchakarika ya kuonyesha na wewe una mchango fulani, huwa inamaana sana kwenye mahusiano.
Bora nigharamike nipate uhakika kuliko nitume alafu nikose vyote na hela iliweNa kuja mwenyewe ni gharama zaidii coz lazima ulale hotelin so ni bora tu ukatuma nikaja kwako akabalance pesaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1751][emoji1751][emoji1751]pole Sana,Ila shukuru ukute Mungu alikuepusha na HIV na UTI sugu
hata wewe ujengewe sanamu yako, naamini wewe ni mmoja ya wanawake JF ambao mpo vizuri kichwani, maadili etc.. Sidhani kama upo kama makurumbembe mengine toka kipindi kile nikaona huyo mtoto yupo smart πHuyo Mwanamke ajengewe Sanamu jamaniiππΎββοΈπ¬π¬
wapo walio smart ila mengine, PM moja unaanza ombwa hela kama umekuwa mfadhiri wa maisha yake π π π π π ..Huyo yupo smart sana.
Nyie tatizo lenu hampo smart unaitwa wewe mnakuja 20 akili zote 21 sawaAisee sie wakina kajamba nani kumbe hatuko smartπ¬
Upo wapi? isijekuwa n kwa bajaji ya bukuUnakutana na wenye hizo hela ila mimi kwasasa ukinihitaji nauli juu yako otherwise uje mwenyewe
kitombo ni part ya mahusiano, ila msifanye kama chakula . hata anae toka kisalawe hadi boko nae kila ukimuita ni kutombwer tu ?
Ila humu kuna wanawake wako njema sanaa kwa pesa sipingi kauli yako mpendwa.hata wewe ujengewe sanamu yako, naamini wewe ni mmoja ya wanawake JF ambao mpo vizuri kichwani, maadili etc.. Sidhani kama upo kama makurumbembe mengine toka kipindi kile nikaona huyo mtoto yupo smart π
Unamfanya atimize ndoto zako na si kutimiza zakeWala mkuu ππ
kipindi cha miezi sita ukijia una ratiba ya kutombwaaa , tafuta kibubu.. umfurahishe mwenzako, aone ayupo na furushi bali yupo na mtuAsa jmn ukiona mtu anatuma mpk nauli ujue ni long distance relationship kwaiyo kuonana hata baada ya miezi 6 so hawafanyani hivyo hivyo wanamisianaa ndio maana wanatumiana na naulii
Kuna wanawake wapo smart sana, kuna mmoja JF hadi alinitoa aout akalipa zaidi ya 300,000 .. kila kitu juu yake . [emoji28][emoji28] na wala hatukuwa tiana tumebaki kama kaka na dada tu
Wengine huwa wanapima ule ujali wako kwanza; ili baadaye uanze kulamba asaliWewe mimi sio wa kunishauri hivyo nilishavuka huko sili nauli ya mtu ila naendaa hatakii ale nauli yake
Mpendwa mie huwa nakukubali sana rafiki, alafu nina kuheshimu sana. Sure humu wapo wanadada wana akili nzuri sana na ni good mama hata ni wake wema na hata wanaume pia wapo.. ila ukiangukia puaa sasa utakutana na tatizo la hatari π π πIla humu kuna wanawake wako njema sanaa kwa pesa sipingi kauli yako mpendwa.
usitume nauli,kama ni msafiri wa kuja kweli mkatie ticket online umtumie ticket number tu. #kataautapeli#
banaa wewe kuna wanawake wana hela, ila hatoi hata mia tano.. kaisha zoe omba tuu na kutiwa basiSio smart huyo ana kazi yake mjini
Wanawake hatufananii kiuchumi kama mlivyo wanaume
So mimi nafikiri usitume nauli kama unajua huyo mpnz wako ana hizo pesa za kukufuataa
usitume nauli,kama ni msafiri wa kuja kweli mkatie ticket online umtumie ticket number tu. #kataautapeli#
Si mbaya kwa nafasi uliyonayo; wengine huwa wanapeleka mwili tu πKawaida unatuma nauli nakuletea na zawadii siji mikono mitupu hapo ndio mwisho wa uwezi wangu
Bora nigharamike nipate uhakika kuliko nitume alafu nikose vyote na hela iliwe