Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Sio vibaka, nakutana na baadhi ya wadada wengi ni vituko, mpaka najiuliza huyu mtu kwa tabia zake hizi, ataolewa na mwanaume wa aina gani, nimeelewa biblia inamaanisha nini inaposema mke mwema ni nani awezaye kumwona.

kwa asilimia kubwa mwanaume sahivi ukitaka kuoa, aidha uwe mcha Mungu sana, Mungu akuoneshe ubavu wako, au kama ni mtu wa kidunia inabidi ujitoe ufahamu, uwe na uwezo wa kuvumilia ujinga wa mwanamke, ujilipue, ujirushe na ujifanye mjinga, kila asemacho mwanamke, mwanaume inabidi useme sawa, ukitumia logic, miaka 40 hiyoo, huna mke wala mtoto Joannah
Hali ni mbaya kwa pande zote mbili
 
kikubwa ufike. Muyajenge hata mkitaka hata kununua Gulfstream 650 ... ila muache kuwa matonyaaa.. unashindwa jikatie tiketi ya go and return ? alafu ukifanya hivyo sie wanaume tunakukubali sana utaona ma miamala ya kutosha maana mtu atana una akili nzuri na ya kimaendeleo.. ila sio mnaanza tu hata nauli ya KISBO inakutoa kando 😅😅
Sio wanaume wa Tanzania msio na shukrani,sana sana baadae ataanza kukuchamba demu gani Yuko desperate,anajileta Kwa nauli yake,atakusemaa wee mpaka ujute.Bora hata akusimange huku pesa yake alokupa inamuuma
 
Back
Top Bottom