Mapenzi yanaumiza sana haswa kwa sisi wenye mioyo midogo

Shida kakuacha au shida ni zile hela zake?
Btw unakosaje back up sis?
 
Okay' sawa'

Jifunze kuwa na muhimili ambao utakuwa nguzo zaidi kwako, hivyo itakujengea heshima na kukuweka kuwa wakwanza zaidi, tofauti na unavyokuwa mchepuko...

Tizama mahusiano yako, kama kila ulikua naye anakufanya kuwa mchepuko, jaribu kutafuta sababu huenda kuna mahala unakosea either, kimuonekano, mwenendo, tabia au hulka..

Badili unaloona
 
Hapa unajionesha kuwa wewe ni binti ila huko nyuma ulishajionesha wewe ni mwanaume

Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu sasa ni marehemu.


Kabla ya hii napo ulilalama:
Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi ugomvi na wivu niliokuwa nae kwake Huyu manzi ni mzurii kati ya mademu zangu wote niliokuwa Nao...

 
Hakuna cha kubadili ni vile tu ninaingia u husiano na watu tayari wana mahusiano yao tena huweza kuta ni seriously
 
Hahaha yasiyo kuhusu yasikuumize kichwa mkuu
Yaani we dili na story iliyopo now.. maisha yenyewe magumu kutaka kuyajua ya watu ni kujiongezea stress
 
😂😂😂 tuwe macho na matapeli wa mtandaoni
 
Au mpaka umchape na laki Moja kwanza😂
🤣🤣🤣🤣🤣 sema amechelewa, nenda kwenye ule uzi wa Risasi yangu ya mwisho ukaone kinachoendelea.
Sema ile siku nimefungua uzi wa kutaka manzi humu, wewe ndiyo binaadamu pekee uligumdua nimemlenga nani🤣🤣

Sema ukataka kuharibu 😂
 
Yana waumiza CCm wenye mioyo ya nyangumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…