Mapenzi yanaumiza sana haswa kwa sisi wenye mioyo midogo

Unataka bebi wa kujitafutia wewe mwenyewe kwa jitihada zako au bebi wa kushushiwa kutoka juu?
 
😂😂😂kutesa kwa zamu sioo
Kale ka Mpnz kako kaliko fumania sms bado mpo au
Alafu usimuite my wangu kale, kako, ntakupiga nikuvunje nywele 😂

Yupo na hali ni shwari niliahidi kuacha kuchepuko na nipo kulitekeleza hilo japo vishawishi ni vingi.
 
Ukiona hivyo ujue, nut imeisha trade, hapo hata ufanyaje ukifunga haiwezi kukaza
 
Alafu usimuite my wangu kale, kako, ntakupiga nikuvunje nywele 😂

Yupo na hali ni shwari niliahidi kuacha kuchepuko na nipo kulitekeleza hilo japo vishawishi ni vingi.
Ukiona hali ni shwari tu jua mnaachana sio muda mimi ni mfano wa kuigwa mkuu🤣🤣
 
Unayebmpenda milele ni nani?
Mpaka uje kutafuta single huku?
 
Uongo hakuna mtu mwenye roho ndogo na wala moyo mdogo watu wanakuwa tu hawaezi kuhimili maumivu na wajinga
 
No time to waste mama muda hautoshi ☺️
Oga pendeza Rudi sokoni kipenzi 💃
Haikua Rizki
 
Njoo kwangu, hela mtakupa ila uwe mchepuko wa 10
 
Nyie wa kujifanya Mapenzi sio kipaumbele ndio mnaongoza kwa kujinyonga
Kama n kujidhuru kisa haya mavitu nadhani ningefanya kipindi hicho yananinyoosha kweli kweli, kwa sasa sijali itakavyokuwa na iwe.
 
Fafanua kwanza nini unahitaji

1. Unataka kujua kama umeachwa mazima?
2. Unataka hela?
3. Unatueleza kuhusu msimamo wa kutojipendekeza
4. Ulitaka tujue mmechuniana?

Lenga mada
 
Kama n kujidhuru kisa haya mavitu nadhani ningefanya kipindi hicho yananinyoosha kweli kweli, kwa sasa sijali itakavyokuwa na iwe.
Basi na mimi nishakuwa kama wewe tu
Sema mapenzi usenge tu mimi naangaika na lijitu wakati kuna mwingine anibembeleza na simpendi 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…