Mapenzi yaninatesa, ninayempenda anawasiliana na mimi akitaka yeye

Mapenzi ni vitu vya kuachana navyo kabisa
 
Nsaidie kulielewa nahitaji msaada kwa kweli, nataka kutoka hili shimo kwakweli


1. Huwezi kuteswa na mtu yeyote, vyovyote vile, kama hujamruhusu wewe mwenyewe akilini mwako kwa hiari afanye hivyo.

2. Angalia zaidi malengo yako; husiana na watu (even if siyo mambo ya mahusiano & mahaba) ambao wanaibua, wanakuza, wanashamirisha na kuendeleza malengo yako kwenda kwenye mafanikio yako. Otherwise, waondoe kama weeds shambani, wale wasiosaidia katika hili. Kuna angalizo hapa --- nahifadhi kwa ajili ya muda & space.

3. Jifunze kuwa na will power na decision making ability plus consistency. Hizi tatu ambazo ni ^sine qua non^ katika ufanisi wa field yoyote maishani hujengwa kwa kukuza maarifa na experience yako ya mambo. Just imagine where you want to go (your ultimate destination), and you will be forced to look for the RIGHT means of transport to get you there.

4. Kumbuka moyo ni soooo tender, sooo delicate na sooo sensitive when it comes to relationship. Learn to insulate your tender heart from unwanted attacks. Mashambulizi yakiwa ya mara kwa mara hivi, in the end utaishia kwenye rejection of almost anything, hata kama ni kizuri na kinakufaa kiasi gani.

5. Never ever forget GOD. Ukimtanguliza Mola, akili yako inakuwa timamu, wala mambo mengine hayakusumbui tena.
 
Be blessed kaka
 
Kuna mtu aliandika kuhusu mwanamke kukukamata kutumia kisaikolojia akakutawala, mkuu ushapatikana
 
Mkuu inawezekana demu pia anakupenda ila anakufanyia maringo kwasababu ameshajua unampenda. Akili zao huwa zinashangaza sometimes. Nakushauri uache mawasiliano nae huyo demu, yaani kaa kimya kabisa, ukikaa kimya itamuuma kwasababu mademu wanapenda attention. Kama anakupenda atakutafuta tu hata kama ni baada ya miezi kadhaa.
Pia muombe Mungu akupe utulivu wa akili kipindi hiki ili usitetereke kwenye mambo yako mengine ya kimaisha. Hata hasipokutafuta tena, utavuka salama tu kipindi hiki unachopitia, ni swala la muda tu.
 
Hivi hadi saiv bado kuna watu wanateseka na mapenzi???
[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kwa kauli yako hiyo umekubali kuwa pesa sio solution,
Narudia Tena jikite zaid kwenye kutafuta pesa mapenzi yatakuja yenyewe.


Huyo Bill kaachana na mke wake lakini hawezi kuacha kufanya mengine kavurugwa kisa mapenzi.
 
Maisha jinsi yalivyo magumu bado tena nihangaike na mapenzi? Never ever!!
Poleni sana enyi msumbukao!
 

Una pesa?kama huna tafuta hilo tatizo halitajirudia kamwe
 
Shukran sana be blessed [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…