Mapigano yanayoendelea Gaza na unafiki wa Dunia

Kihistoria Ukraine ni sehemu ya urusi..... vipi una maoni gani kwa Putin kuchukua eneo la urusi kihistoria? Au Idd Amin alikua sahihi kupora Kagera kisa ilikua kihistoria ina roots za Uganda?
Histori gani inasema hivyo. Naomba supportive document
 
Quran inayowaongoza Muslim inatambua Jews na ni Nabii Mussa alipewa aeshi na Allah watoto wa Israel wake na wasitoke hadi kiama
Kwanza I'm not a Muslim pili hata kwenye Bible yako mwenyewe geuza upande wa ramani uone wameandikaje!!

Kumbe hizi Bible zinapotosha? Kwamba walioandika biblia hawakujua palestina haikuwepo ila wewe nobody ndio unajua haikuwepo hahahahhaahha.
Unaposema miaka 70 nenda kwenye historia ya UN ukasome. Walitakiwa waishi pamoja Arabs na waisrael.
Acha utoto, vita mlishinda mkapora ardhi mkaweka mipaka si ndio? Tunachopinga ni kwamba over the years mmekua mkijitanua kila mwaka mfano kuna walowezi laki 5 wanaishi ndani ya mipaka palestina Inayotambulika na Israel!!! Hao ndio wavamizi sasa cha ajabu wapalestina wakienda kuwafurumusha kwenye mipaka ya palestina mnasema ni wachokozi?

Hao walowezi hata serikali ya Israel imewahi wafukuza palestina cha ajabu wewe hohehahe wa buza unatoka mapovu kuwa ni haki wao kuikalia palestina?

Why is Israel pulling out settlers from Gaza, West Bank? - Israel

Kasome kwanza kuhusu settlers ndio urudi kuargue hapa, that's if at all hata lugha utaielewa.
 
Wana haki maana wao hawakwenda kuishambulia m23. Bali haom23 ndio wanawafata kwao.
Same applies to Israel. Walifatwa na kuuliwa ndugu zao, wana haki ya kujilinda.
Haki ya kujilinda ni ya msingi mnoo.

Reasonably, Israel pale Gaza wameendesha zoezi la kujilinda au mauaji?
 
Haki ya kujilinda ni ya msingi mnoo.

Reasonably, Israel pale Gaza wameendesha zoezi la kujilinda au mauaji?
Hamas waliua watu 1200 na kuteka wengine usisahau hilo. Walikuwa sahihi?

Hivi ukija kuiba kwangu, ukafanya na uharibufu, nikakukamata natakiwa nikuadhibu au nikuache tu?

Na kama nikiamua kukuadhibu, utanipangia nguvu na muda wa kukuadhibu?
 
Sawa mleta mada Mimi nakubali ila Hamas kwa nini waakatalie mateka hadi Leo ingelikua wamewatoa na Israel yaendelea kiwapiga basi hapo tatizo Israel twaombaa awatoe mateka bila masharit then tutamhukum Israel kwamba kafanya mauaji ya halaik
 
Reactions: 511

Walichofanya Hamas ni kitendo kiovu na kinapaswa kulaaniwa na kila mpenda haki.

Je nafsi yako itaridhika hadi wafe watoto wangapi wa Palestina?

Logic yangu ni mateso ya wasio na hatia kwenye maeneo ya vita. Mara tunaona mnaingiza udini kwenye baadhi ya vita lakini wanaokufa ni watu ambao kimsingi wengi si wahusika.

Mfano pale Gaza, zinatumika heavy weapons ambapo haina tofauti na kupiga bomu ili kuua nzi

Mfano ulioutoa kuhusu mwizi kukuibia na kumuadhibu, haki hiyo inalindwa na tafsiri ipi ya sheria?
 
Sawa mleta mada Mimi nakubali ila Hamas kwa nini waakatalie mateka hadi Leo ingelikua wamewatoa na Israel yaendelea kiwapiga basi hapo tatizo Israel twaombaa awatoe mateka bila masharit then tutamhukum Israel kwamba kafanya mauaji ya halaik
Kama sote tumejua kuwa Hamas wanakatalia mateka na wanawatumia watoto na wanawake kama ngao yao. Je tunapaswa kuwaua hao ngao ili tuwafikie Hamas na kuokoa mateka wetu?

Je Israel ambayo ina mateka wengi wa Palestina, tunaishauri nini? Kwa nini wasitafute muafaka kuliko kuangamiza Kizazi cha watu?
 
Unaweza nionyesha nilipoingiza udini?

Walifanya uovu, walitakiwa kulaaniwa ila hawakulaaniwa kwa tukio lao.

Nafsi yangu inahusika vipi na vita ya mwisrael?
Hamas walilindwa na sheria ipi kufanya ugaidi ule?

Uwasilishaji wako tu Tayari ulikuwa unalalia upande mmoja. Uliongelea anachofanya mwisrael ukanyamaza kuhusu alichofanya Hamas.
 
Isreal imekalia ardhi za waislam wa Palestina
Hakuna ardhi ya waislamu,pale Israel pale Ni eneo lao la urithi hao wapalestina wavamizi,Soma historian vizur,hao wapalestina wamekuja baada ya wayahudi kuondolewa na warumi kihistoria pale sio kwao wanapaswa waende Jordan au Saudi Arabia ndo kwao.
 
Inajilinda? Are you insane? Yaani Israel inaikalia Palestina kimabavu kwa miaka 70 sasa alafu anayeonewa akijipambania kupata uhuru unasema mvamizi anajilinda? Kwahiyo Putin naye anajilinda Ukraine?

Huu ndio unafiki anaosema mtoa mada
Acha unafiki Hakuna ardhi inayokaliwa ya wapalestina eneo lote Ni la wayahudi kupitia baby yao Yakobo,Mungu aliwapa na Lina mipaka yake
 
Kihistoria Ukraine ni sehemu ya urusi..... vipi una maoni gani kwa Putin kuchukua eneo la urusi kihistoria? Au Idd Amin alikua sahihi kupora Kagera kisa ilikua kihistoria ina roots za Uganda?
Burundi na Rwanda na sehemu ya Mombasa je Ni sehemu ya Tanganyika?
 
Hakuna ardhi ya waislamu,pale Israel pale Ni eneo lao la urithi hao wapalestina wavamizi,Soma historian vizur,hao wapalestina wamekuja baada ya wayahudi kuondolewa na warumi kihistoria pale sio kwao wanapaswa waende Jordan au Saudi Arabia ndo kwao.
History hio ndio uliofundishwa kanisani?
 
Upunguani huyu Malaria 2 ni wa hali ya juu kabisa.

Ati "Allah kasema hivi mara Allah kasema vile..." nani kamuona na mnasema hana mfano wake.

Ndugu yangu Malaria umelishwa Saundi mpaka umeumuka.
 
Wapalestina wataendelea kufa ikiwa hamas itaendelea kuwashikilia mateka na kukataa kuwaachilia na kuendelea kujificha nyuma ya raia
 
Walicho kifanya hamas ni sawa sawa na Mtu mwenye jicho moja halafu anaenda kucheza disco vumbi.
 
...Walifanya uovu, walitakiwa kulaaniwa ila hawakulaaniwa kwa tukio lao.
Kwa kusema hayo unajustify upuuzi unaoendelea Gaza. Umetiwa upofu na udini na hata unapojitahidi kuchomoka unarudi huko huko
Nafsi yangu inahusika vipi na vita ya mwisrael?
Hamas walilindwa na sheria ipi kufanya ugaidi ule?
Hakuna sheria inayowapa Hamas kufanya mauaji na uhalifu mwingine. Hakuna sheria ama kanuni inayowahalalisha Israel kuua watu wasio nasaba yao kwa kigezo cha kukalia maeneo yao kinguvu. Tatizo lako na wengine ni kwamba, kila anayehoji ni mpizani. Hao Waisrael unaowaona leo siyo wale unaoambiwa kwenye vitabu
Uwasilishaji wako tu Tayari ulikuwa unalalia upande mmoja. Uliongelea anachofanya mwisrael ukanyamaza kuhusu alichofanya Hamas.
Unaponipangia namna ya kuwasilisha hoja, ina maana moja tu! nayo ni upuuzi uliomezeshwa na CCM kuamini kwamba kila mtu anapaswa kuwaza sawa na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…