Mapinduzi Cup: Mtibwa yatwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Simba kwa goli 1 - 0

Mapinduzi Cup: Mtibwa yatwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Simba kwa goli 1 - 0

Sasa angalia kikosi chetu kilichotolewa na mtibwa kwa matuta na kikosi cha mikia kilichopigwa kimoko ndani ya dk 90,yan mikia inabidi waelewe mpira auchezwi magazetini au insta 😂
Kabisaaaa. Mpira hauchezwi kwenye page ya Manara sababu ukiwasoma wanavyojimwambafy mpaka unabakia mdomo wazi.

Hivi umewaona wapi hawa Ghazwat, jogi , sembo na huyu Mlivapuli mwenzio King Ngwaba. 🤣🤣🤣
 
Alipofungwa Yanga, tena kwa penati na hao hao Mtibwa, watani zetu Simba mlichonga sana. Mliiona Yanga si lolote si chochote. Nanyi yamewakuta.Mtibwa si watu wa mchezomchezo. Poleni sana.

Mkuu sana Watu8 , amewatungia kawimbo haka:
Wamechapwa....kidudeeeee

Kimewanasa....kidudeeeee

Mtibwa anacheza Yope

Eeeeh eeeeh eeeeh eeeeeeeeh
 
Huyu kocha anapima upepo wa Wanasimba, ngoja waaanze kucheza na majukwaa tupu ndio ataelewa kuwa hatupendagi ujinga. Rashid Juma, Ndemla na Shamte ndio wa kucheza fainali kweli😭😭😭
mmekwishaaa
 
Back
Top Bottom