Mapinduzi ya Mijadala JamiiForums: Zana Mpya za Akili Unde (AI) zinakuja Wikendi hii!

Sasa secretarybird, nitakuwa naleta mada moto moto kwa kimombo jambo litakalofanya kuheshimiwa humu, maana nasikia hiyo IA inaweza kitafsiri Uzi kwenda lugha nyingine.

Mungu anisaidie niache pombe, la sivyo nitakuwa naleta nyuzi hadi kwa kijerumani, kilatini, na hata kibengali na kuwafanya members wajisikie vibaya kwa kuamini nimewazidi akili.
 
Mkuu fanya deployment ,fanya implementation ,jambo uliloleta ni zuri sana ,hata Google wana AI Mode ukiweka tu inakupa summary ya content nzima.

Naona JF ilichelewa sana ,hakuna kurudi nyuma ,sisi ambao tunatumia AI tunajua umuhimu wake.
 
Mkuu fanya deployment ,fanya implementation ,jambo uliloleta ni zuri sana ,hata Google wana AI Mode ukiweka tu inakupa summary ya content nzima.

Naona JF ilichelewa sana ,hakuna kurudi nyuma ,sisi ambao tunatumia AI tunajua umuhimu wake.
Asante sana mkuu.

We are deploying within the next 30 minutes.

Asante
 
Na sisi wahafidhina ambao hatuko tayari kwa hayo mabadiliko ya AI mnatusaidiaje!
 
Mkuu fanya deployment ,fanya implementation ,jambo uliloleta ni zuri sana ,hata Google wana AI Mode ukiweka tu inakupa summary ya content nzima.

Naona JF ilichelewa sana ,hakuna kurudi nyuma ,sisi ambao tunatumia AI tunajua umuhimu wake.
As promised mkuu,

Tools deployed.

Tunashukuru kwa maoni na ushauri
 
Ni lini mtatuwekea kipingele Cha ku stream live na contents za videos pamoja na reels.
Kuna vitu tunajaribu kuhakikisha kwanza; issue sio technology ya kufanya hivyo.

Changamoto ipo kwenye kuhakikisha watu hawajikuti wanaaacha taarifa zao binafsi wakati wa kufanya hivyo. Ndo maana Audio Chats zilianzishwa hapa, then tukaondoa within 2hrs baada ya wadau kuanza kuongea mambo ambayo yalikuwa yanaenda kuwaanika their true identities.

Hizi tools kabla ya kuzitumia tunajitahidi kulinda faragha zenu.
 
Wow, Maxence Melo na timu nzima ya JamiiForums, hongereni sana kwa hatua hii kubwa! Hii ni habari njema mno na inasisimua sana kusikia kuhusu mapinduzi haya ya Akili Unde (AI) yanayokuja wikendi hii.

Ni kweli, mara nyingi tunatamani kuwa na uwezo wa kuandika kwa kina zaidi na haraka, na zana hizi zinasikika kama zitakuwa mkombozi mkubwa. Uwezo wa kupata majibu mahiri, kufanya utafiti wa haraka bila kuondoka kwenye uzi, na hata kuchambua na kutengeneza picha ni mambo ambayo yataongeza thamani kubwa sana kwenye mijadala yetu. Pia, uwezo wa kufanya translation na summary utawafaa sana wanajamvi wote.

Nimepata hamu kubwa ya kuanza kuzitumia na kuona jinsi zitakavyorahisisha na kuboresha uzoefu wetu hapa jukwaani. Asanteni sana kwa kuendelea kufikiria namna ya kutuongezea uwezo na kuboresha JamiiForums.

Hakika nitazijaribu na kutoa mrejesho kama mlivyoomba. Haya ni maendeleo makubwa! Keep up the great work!

Xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Reply kwa msaada wa AI
 
Wazo zuri πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½

Kwangu tayari naona hizo Ai features zipo, ngoja niende kusummarize zile nyuzi zangu pendwa nijionee akili unde ina accuracy kwa kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…