Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

hukuona picha ya kwanza ilikuwa ya sultani, au hukuangalia sherehe zenyewe??? mke wa karume wala hajaalikwa matokeo yake yupo maria nyerere, john okello alikuwa kibarua ambaye hamliki shamba.
 
Tunapoelekea kwenye kilele cha sherehe za Mapinduzi ningependa tujiulize swali hilo ambalo limekuwa na mkanganyiko sana kutokana na Itikadi mbalbal za watu.

Je, baba wa Taifa la ZANZIBAR NI NANI KATI YA HAWA?
(a)John Okelo
(b)Abeid Karume
(c)Sultani bin Said
 
Obviiously John Gedion Okello ndio Baba wa Taifa la Zanzibar.
Ndiye Baba wa Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
 
Ngoja akina Barubaru na Bobwe waje hapa
Watajifanya hawamjui John Okelo
 
Last edited by a moderator:
Phillemon Mikael
===>Wazanibari tangu zamani ni watu wabaguzi sana,hasa kimaeneo,halafu udini unafuatia,wanaona aibu tu wakija huku wanajiachia watakavyo ila subiri Tanganyika ije lazima tutachora mstari tu,ni suala la muda tu.
===>Wamejazana kariakoo,tandika,magomeni wanakula na kunya na hakuna mtu anaewauliza,ila nenda kwao uone,wamejaa chuki na ubaguzi wa hali ya juu
===>Tanganyika hiyo inakuja tutachora mstari tu.


 
Dereva Tax akimpeleka mjamzito Hospitali na mama akajifungua salama , yeye Dereva Tax hawi baba wa yule mtoto

Niliwahi kumkuta jamaa mmoja na mke wake Jangwani mama akiwa hatua za mwisho kujifungua, nikawapeleka hospitali ya muhimbili, after 40 minutes baba/mme wa yule mama akanipigia simu kunishukuru

Okello alitumiwa tu na ndio maana historia yake haieleweki, Uganda, tanzania na kenya wote kwa nyakati Tofauti wame enjoy services za Okello

All in all dhana ya ubaba kwa taifa fulani is very very questionable and debatable
 

Kumfananisha FM J.Okello na dereva taxi si tu ni dharau isiyomithilika bali ni ukosefu wa shukurani ulipitiliza!

J.Okello alikuwa na uwezo wa kumchagua yeyote kwenye baraza la kwanza la mawaziri,alikuwa na uwezo wa kumchagua kichaa yeyote yule kuwa rais wa nchi!

Mbaya zaidi aliyemchagua kuwa rais kwa upendeleo wake ambaye hata kwenye mapinduzi hakushiriki ndiye aliyemtimua kisiwani humo!

Na ni Kwa nini walimuita sio raia wa nchi hiyo baada ya mapinduzi wakati kabla walimpa mpaka vyeo katika ngazi za chama?
Huu ulikuwa ni usaliti!Na nadhani unajua ni nani aliufanya!
 
Ngoja akina Barubaru na Bobwe waje hapa
Watajifanya hawamjui John Okelo




Bramo na Waberoya
===>Wazanzibari wana hulka ya ubinafsi na ubaguzi,nenda tandika,magomeni,kariakoo na tanga maeneo ya chumbageni (Mtupie) utaona jinsi life style ilivyo,uchoyo,ubinafsi kujitenga tenga ndio chachu ya mfumo wao wa maisha
===>Siwalaumu maana nafikiri ni urithi walioachiwa na baba au babu zao,hata zanzibar wako hivi hivi wenyewe wenyewe tu,
===>Namshukuru Mungu Tanganyika yangu hiyooo inakuja tutachora mstari muda si mrefu na heshima itarudi mahali pake.
 

okello ni jitu shenzi lisilo na huruma lime2ulia wazee we2 et limridhshe yesu,aman karume nae limbukeni asie jielewa kaiuza nch ye2 kwa jambazi nyerere,mshenz aliesema angeweza angei2pa znz bara la mbali,znz haina baba wa taifa km wanavyotaka wakatoliki 2fuate mila zao z kikafiri,znz ina watawala walioleta ustaarb znz mpk huko kwenu tanganyika,kina sultan said na wengne achen kasumba z u2mwa mlizolishwa na wazungu,hko ulaya nd kumejaa half cast kbao
 


we ni mwarab nin? amekuuliza babu zako wa kiarab walioleta ustaarab zanzibar? ha ha ha....ukikosa elimu mtu sijui unakuaje? leta hoja na si matusi na udini. huna hoja acha watu wenye akili wajadili. pole kwa kuuliwa babu zako.
 
sasa kama baba wa taifa hilo mpka sasa anamkanganyiko, ni matumaini yangu kuwa isingekuwa Tanganyika zanzibar isingekuwa hivyo ilivyo leo.(msio penda kuambiwa ukweli msijitoe muhanga tafadhali) nalog out.
 

Hivi wewe unaakili sawasawa? Hata kama mamayako hakukupa malezi unapaswa kujifunza hata kutoka kwa majirani. Udini unakusumbua wewe juha. Huwezi kuandika bila kuwataja wakatoliki? Mbona hospitali zao unakwenda kutibiwa? Mbona shule zao mnasoma?
 
siyajui hayo ya u-baba na u-mama wa taifa, but all in all field marshal john okelo sambamba na wamakonde kadhaa ndio planners na implementers wa the so-called mapinduzi matukufu ya zanzibar. ni lazima aheshimiwe bwana hata kama hamtaki iwe hivyo, jitahidini kuvumilia
 
Samahanini kwa kuwarudisha nyuma. Hivi nini maana ya baba wa Taifa?
Kwenye katiba anatambulika?
 

Umeme unaoutumia kuchaji betri ya simu unatoka TANGANYIKA

Waanzilishi wa JamiiForums ambako umetoa kashfa zako ni WATANGANYIKA, na mtandao wenyewe uko TANGANYIKA

Ukitaka kutoka nje ya uto tuvisiwa twenu lazima upitie TANGANYIKA

Mababu zenu walitoka unyamwezini TANGANYIKA, leo eti mnajidai mna identity…my foot!!

Mlipoanza kuchinjana huko 2001 mliokolewa na jeshi la TANGANYIKA

By the way, Waarabu walileta ustaarabu upi Zanzibar, mdebwedo?

Halafu huyo Sultani unayemwabudu alikuja TANGANYIKA kuomba hifadhi ya muda kabla ya kukimbilia Uingereza. Aliweka rehani maisha yake kwa huyo huyo Mwl. Nyerere mnayemtuk.ana

I suggest you take a chill pill and sleep, though unfortunately when you wake up, TANGANYIKA will still be a billion times superior Socially, Politically and Economically to your little good-for-nothing islands.
 
Duh! Umeelezea vizuri!
But, the question is: hayo maneno yanahusiana vipi na mada??????

 
Duh! Umeelezea vizuri!
But, the question is: hayo maneno yanahusiana vipi na mada??????


Mashaxizo
Angalia kwenye nyekundu hapo,angekuwa na imani kama wao,na antoka pemba au unguja angekuwepo kwenye historia.
 
Last edited by a moderator:
Naheshimu mapinduzi,namheshimu hayati karume. Lakini sifurahishwi na kutomuenzi kwa jinsi yeyote field marshal okelo. Ukichukulia yeye ndie aliyeratibu na aliyeongoza mapambano ya mapinduzi. Basi hata picha zake tu zingebandikwa uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…