Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Kwa ufupi Zanzibar hakuna baba wa taifa wala mama wa taifa ,usemi huo hawanao WaZanzibar tena msijilete
kimbelembele kuwachomekea ,hayo ya baba wa taifa na mama wa taifa ni hukohuko upande wapili.
 
Mashaxizo
Angalia kwenye nyekundu hapo,angekuwa na imani kama wao,na antoka pemba au unguja angekuwepo kwenye historia.

Mkuu wacha hizo bhana!
Who makes history?
Historia hujifanya yenyewe mkuu!
Also refer definitions of history!
 
Last edited by a moderator:
Na nyie mnaemshangilia jamaa yenu Okellu ,kama mnatambua mapinduzi na nini kinatokea baada ya kufanikiwa
wale wakuu wakuu wote hukamatwa na kutiwa ndani au kunyongwa na angalia wengi wa waliokuwa mstari wa mbele kuyatengeneza mapinduzi akina Hanga walikamatwa na kunyongwa ,kuna kitabu kitatoka karibuni labda tembeleeni mzalendo.net mjisomee habari Upande Usiotakiwa Ujulikane Katika Historia ya Mapinduzi - Mzalendo.net
 
siyajui hayo ya u-baba na u-mama wa taifa, but all in all field marshal john okelo sambamba na wamakonde kadhaa ndio planners na implementers wa the so-called mapinduzi matukufu ya zanzibar. ni lazima aheshimiwe bwana hata kama hamtaki iwe hivyo, jitahidini kuvumilia

Kwani, mbona wakristo hawamuheshimu Yuda wala Shetani, aliyemsaliti yesu, na akasulibuwa na wakristo wote wakapata ukombozi na ondoleo la dhambi?
 
okello ni jitu shenzi lisilo na huruma lime2ulia wazee we2 et limridhshe yesu,aman karume nae limbukeni asie jielewa kaiuza nch ye2 kwa jambazi nyerere,mshenz aliesema angeweza angei2pa znz bara la mbali,znz haina baba wa taifa km wanavyotaka wakatoliki 2fuate mila zao z kikafiri,znz ina watawala walioleta ustaarb znz mpk huko kwenu tanganyika,kina sultan said na wengne achen kasumba z u2mwa mlizolishwa na wazungu,hko ulaya nd kumejaa half cast kbao

we kashamba kweli nyerere si baba yenu. Au umesahau zanzibar si nchi
 
Inaonekana ww znz huijui okelo ni mkenya aliyetumwa na kanisa kuja kuua wazee ambao walionekana kuwa mila za kiislamu wala si mapinduzi mnavyodhania na karume yy alishikwa masikio kutokana na ujhili wake wa kukosa elimu na baada kuona anashtuka wakamuua znz wameifanya kuwa koloni la tanganyika sasa iamke itafute uhuru wake
 
Mkuu wacha hizo bhana!
Who makes history?
Historia hujifanya yenyewe mkuu!
Also refer definitions of history!
Mashaxizo
===>Anza kuandika Historia au fanya utafiti wa jinsi pesa za EPA zilivyoibiwa uone kama utapata majibu yake,na ukiyapata ukishayatoa kwenye umma (public) uone kama hatukukuti mabwepande na wamekupofua macho,kukutoboa masikio na kukukata mikono ili usiweze kuwaandika tena hao watesi wako,chezea TZ wewe!
 
Last edited by a moderator:
okello ni jitu shenzi lisilo na huruma lime2ulia wazee we2 et limridhshe yesu,aman karume nae limbukeni asie jielewa kaiuza nch ye2 kwa jambazi nyerere,mshenz aliesema angeweza angei2pa znz bara la mbali,znz haina baba wa taifa km wanavyotaka wakatoliki 2fuate mila zao z kikafiri,znz ina watawala walioleta ustaarb znz mpk huko kwenu tanganyika,kina sultan said na wengne achen kasumba z u2mwa mlizolishwa na wazungu,hko ulaya nd kumejaa half cast kbao

Laiti kama ningekua Mdunguaji..........!
 
ZANZIBAR HATUNA BABA WA TAIFA
kuna house girl wa taifa(okello) alivochokwa akatimuliwa, mnaacha kujadili bili za umeme na katiba mpya mnajadili majungu na uzandiki, baba wa taifa zanzibar atawasaidieni kitu gani? midam hamjasikia kua yupo maana ake hakuna baba wa taifa zanzibar, muwache kuleta mada za kizushi humu, na hususan zinazohusu zanzibar
 
Mashaxizo
===>Anza kuandika Historia au fanya utafiti wa jinsi pesa za EPA zilivyoibiwa uone kama utapata majibu yake,na ukiyapata ukishayatoa kwenye umma (public) uone kama hatukukuti mabwepande na wamekupofua macho,kukutoboa masikio na kukukata mikono ili usiweze kuwaandika tena hao watesi wako,chezea TZ wewe!

Yap! Sasa nimekusouma mkuu!
Unamaanisha Okelo alisaidia mapinduzi, si ndio? After all, wakamfukuza coz hakuwa muislamu/mzanzibari! Si ndio?
...
If ndio hivyo, thanks kwa kuniengezea knowledge!
...
If sio hivyo, labda ungenyooka ili nikusome vizuri!
 
Last edited by a moderator:
Imekuwa desturi na sasa ishakuwa tabia ya kusahau baadhi ya mashujaa kwa sababu ambazo hazieleweki,

Ni kama vile kwenye sanaa alivyo sahaulika Mtoto wa Dandu, (Cool James) baada ya kuumiza kichwa, kufuatilia na kuhakikisha kunakuwepo na Tanzania Music Awards, ambapo leo idea ile ile, mdhamini aliyeaminiwa ameibadilisha jina na amepoteza mbali hakimiliki ya wazo la James Dandu na kulifanya lake huku familia yake ikiambulia patupu

Hata leo Zanzibar kinaendelea kilekile nashindwa kuelewa tatizo nini? Je kwa Zanzibar tatizo lilikuwa John Okello sababu anaitwa John?

Au ilidhamiriwa kufuta chochote alichokifanya kama karai linavyotumika kwenye ujenzi wa nyumba?

Nakaribisha mjadala.
 
Jana mtangazaji wa DW katika mahijiano yake na wanamapinduzi wa zenj ameshindwa na wamejifanya wamemsahau okello uku wakikwepeesha jobs mbalimbali
 
yap wakristo hawamuheshimu Yuda kwa usaliti wake, lakini wanamtambua na wala hawajafuta jina na matendo yake kwenye maandiko yao. swali langu kwako ni iweje wazanzibar waamue kumpoteza kabisa okelo kwenye historia yao? historia ni lazima ibaki kama ilivyo hata kama muhusika hamumpendi. mbona Hitler alifanya maovu(kwa wengine ni mazuri) na bado historia yake ipo? kulikoni kwa bwana OKelo?

Kwani, mbona wakristo hawamuheshimu Yuda wala Shetani, aliyemsaliti yesu, na
akasulibuwa na wakristo wote wakapata ukombozi na ondoleo la dhambi?
 
Kama tatizo ni asili yake,mbona Che Guevara anaenziwa kote Amerika Kusini

mbona Tanzania tunakumbukwa kote kusini mwa Afrika

kumuenzi Okello imekua dhambi kama kuitaja Tanganyika kwa walioigeuza kuwa Tz Bara
 
Imekuwa desturi na sasa ishakuwa tabia ya kusahau baadhi ya mashujaa kwa sababu ambazo hazieleweki,

Ni kama vile kwenye sanaa alivyo sahaulika Mtoto wa Dandu, (Cool James) baada ya kuumiza kichwa, kufuatilia na kuhakikisha kunakuwepo na Tanzania Music Awards, ambapo leo idea ile ile, mdhamini aliyeaminiwa ameibadilisha jina na amepoteza mbali hakimiliki ya wazo la James Dandu na kulifanya lake huku familia yake ikiambulia patupu
e
Hata leo Zanzibar kinaendelea kilekile nashindwa kuelewa tatizo nini? Je kwa Zanzibar tatizo lilikuwa John Okello sababu anaitwa John?

Au ilidhamiriwa kufuta chochote alichokifanya kama karai linavyotumika kwenye ujenzi wa nyumba?

Nakaribisha mjadala.

Nani amekwambia John Okello ni shujaa acheni kupotosha historia mbona huko Tanganyika Nyerere mumewatupa katika historia wazee wa Gerezani.
 
Dereva Tax akimpeleka mjamzito Hospitali na mama akajifungua salama , yeye Dereva Tax hawi baba wa yule mtoto

Niliwahi kumkuta jamaa mmoja na mke wake Jangwani mama akiwa hatua za mwisho kujifungua, nikawapeleka hospitali ya muhimbili, after 40 minutes baba/mme wa yule mama akanipigia simu kunishukuru

Okello alitumiwa tu na ndio maana historia yake haieleweki, Uganda, tanzania na kenya wote kwa nyakati Tofauti wame enjoy services za Okello

All in all dhana ya ubaba kwa taifa fulani is very very questionable and debatable

Acha upotoshaji. Huwezi kuzungumzia mapinduzi ya Zanzibar bila kumtaja John O. Huyo ndiye baba wa Zanzibar.
 
Back
Top Bottom