Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashaxizo
Angalia kwenye nyekundu hapo,angekuwa na imani kama wao,na antoka pemba au unguja angekuwepo kwenye historia.
siyajui hayo ya u-baba na u-mama wa taifa, but all in all field marshal john okelo sambamba na wamakonde kadhaa ndio planners na implementers wa the so-called mapinduzi matukufu ya zanzibar. ni lazima aheshimiwe bwana hata kama hamtaki iwe hivyo, jitahidini kuvumilia
okello ni jitu shenzi lisilo na huruma lime2ulia wazee we2 et limridhshe yesu,aman karume nae limbukeni asie jielewa kaiuza nch ye2 kwa jambazi nyerere,mshenz aliesema angeweza angei2pa znz bara la mbali,znz haina baba wa taifa km wanavyotaka wakatoliki 2fuate mila zao z kikafiri,znz ina watawala walioleta ustaarb znz mpk huko kwenu tanganyika,kina sultan said na wengne achen kasumba z u2mwa mlizolishwa na wazungu,hko ulaya nd kumejaa half cast kbao
MashaxizoMkuu wacha hizo bhana!
Who makes history?
Historia hujifanya yenyewe mkuu!
Also refer definitions of history!
okello ni jitu shenzi lisilo na huruma lime2ulia wazee we2 et limridhshe yesu,aman karume nae limbukeni asie jielewa kaiuza nch ye2 kwa jambazi nyerere,mshenz aliesema angeweza angei2pa znz bara la mbali,znz haina baba wa taifa km wanavyotaka wakatoliki 2fuate mila zao z kikafiri,znz ina watawala walioleta ustaarb znz mpk huko kwenu tanganyika,kina sultan said na wengne achen kasumba z u2mwa mlizolishwa na wazungu,hko ulaya nd kumejaa half cast kbao
Mashaxizo
===>Anza kuandika Historia au fanya utafiti wa jinsi pesa za EPA zilivyoibiwa uone kama utapata majibu yake,na ukiyapata ukishayatoa kwenye umma (public) uone kama hatukukuti mabwepande na wamekupofua macho,kukutoboa masikio na kukukata mikono ili usiweze kuwaandika tena hao watesi wako,chezea TZ wewe!
Kwani, mbona wakristo hawamuheshimu Yuda wala Shetani, aliyemsaliti yesu, na
akasulibuwa na wakristo wote wakapata ukombozi na ondoleo la dhambi?
Imekuwa desturi na sasa ishakuwa tabia ya kusahau baadhi ya mashujaa kwa sababu ambazo hazieleweki,
Ni kama vile kwenye sanaa alivyo sahaulika Mtoto wa Dandu, (Cool James) baada ya kuumiza kichwa, kufuatilia na kuhakikisha kunakuwepo na Tanzania Music Awards, ambapo leo idea ile ile, mdhamini aliyeaminiwa ameibadilisha jina na amepoteza mbali hakimiliki ya wazo la James Dandu na kulifanya lake huku familia yake ikiambulia patupu
e
Hata leo Zanzibar kinaendelea kilekile nashindwa kuelewa tatizo nini? Je kwa Zanzibar tatizo lilikuwa John Okello sababu anaitwa John?
Au ilidhamiriwa kufuta chochote alichokifanya kama karai linavyotumika kwenye ujenzi wa nyumba?
Nakaribisha mjadala.
Dereva Tax akimpeleka mjamzito Hospitali na mama akajifungua salama , yeye Dereva Tax hawi baba wa yule mtoto
Niliwahi kumkuta jamaa mmoja na mke wake Jangwani mama akiwa hatua za mwisho kujifungua, nikawapeleka hospitali ya muhimbili, after 40 minutes baba/mme wa yule mama akanipigia simu kunishukuru
Okello alitumiwa tu na ndio maana historia yake haieleweki, Uganda, tanzania na kenya wote kwa nyakati Tofauti wame enjoy services za Okello
All in all dhana ya ubaba kwa taifa fulani is very very questionable and debatable