Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

Unasumbuliwa na udini tu. Misimamo isiyo na maana ndo inawafanya kuwa magaidi wa kuua bila hatia. Shame on you.
 
Cheche Mtungi


Hawa Jamaa ni wabinafsi na wana Roho Mbaya sana aisee.
Kwa kweli, huu labda ni urithi kutoka kwa Babu zao
 
Last edited by a moderator:

Acha upotoshaji. Huwezi kuzungumzia mapinduzi ya Zanzibar bila kumtaja John O. Huyo ndiye baba wa Zanzibar.
 
Ahaa! John Okelo huyo asubiri Jehanam tu kwa aliyowafanyia binadamu wenziwe.
 

Unakubidi utowe shukran za pekee kwa wa Zanzibari, ulishaisahau Tanganyika yako, halafu bado unawatukana, WAZANZIBAR NDIO WALIOKULETYA TANGANYIKA YAKO
 
Fuatilia makala za Joseph Mihangwa kwenye gazeti la Rai kwa miaka 3 ya nyuma kuruhusu mapinduzi ya Zanzibar ameandika mengi kuhusu Okello nakumbuka aliandika kuwa alirudishwa kwao Uganda kwa lazima.Kulikuwa na hofu angepindua tena zenji
 

Kweli kabisa, hao masultani wenu wameleta ustaarabu wa kuvaa misuri na kushinda kwenye bado kutwa nzima wakishindia kahawa ndo maana maeneo yote ambao wamekalia hao masultani na ustaarabu mbuzi wao kumekuwa dormant.
 
Wana Jamvi,
Sote tunakumbuka mapinduzi ya Zanzibar ya Jabuary 1964, yaliyoongozwa na kamanda mpambanaji Field Marshal John Okello na kufanikiwa kuiondoa serikali ya sultan wa Zanzibar Bin Sayyid, na hatimaye kuipandisha bendera za Zanzibar kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo.

Tunakumbuka wakati John Okello anaongoza mapinduzi yale, aliyekuwa rais wa kwanza wa Zanzibar hayati Abeid Amani Karume alikuwa yupo Dar Es Salaam na timu yake ya ASP.
Tunakumbuka baada ya mapinduzi John Okello alimwita Karume arudi Zanzibar na kuunda serikali haraka.

Cha kushangaza kama siyo kusikitisha, baada ya Karume kuunda serikali, baada ya kutafakari kwa kina na kwa vile kamanda wa mapinduzi alikuwa mkristo, na wao ni waislamu, ilitolewa amri Okello awe ameondoka Zanzibar ndani ya masaa 24.

Hiyo pia siyo hoja sana, bali hoja ni kwamba kwa vile Okello alikuwa na mchango mkubwa kwa zanzibar, mbona hakuna mahali anakumbukwa? inaposomwa historia ya mapinduzi kwanini hakuna hata mmoja anayeitaja jina la Okello? Kwanini ni ngumu ndugu zangu kumtaja Okello midomoni mwao? au kwakuwa ni mkristo?

Wazanzibar kama mna nia njema na mapinduzi, na kama kweli mna hofu ya Mungu basi mkumbukeni Kamanda Okello, vinginevyo hiyo dhambi itawatafuna maisha yenu...
 
ulichokosea ni kudhihirisha lile la moyoni! Inawezekana sababbu ikawa kweli ni hiyo ila kwasababu wenyewe walioiandika historia ya Zanzibar hilo lako hawakuliweka itakuwa ngumu kukusapoti! Ningekushauri ufute neno moja tu kwenye thread yako hii kutapatikana cha kuchangia vinginevyo huu uzi nautabiria kufutwa muda si mrefu!
 

udini ama?
 


aisee bora huo mstari uchorwe tu,mubaki na tanganyika yenu nasisi tubaki na yetu
 
zanzibar hatutaki baba wa taifa wala mama wa taifa.kwahio hakuna haja ya kujiuliza nani baba wa taifa la zanzbar
 

Ni kweli inashangaza coz inasemekana baada ya mapinduzi alitangaza Karume popote ulipo toka!! Like alikuwa kajificha!! Hahaha!! Karume alikua kajificha Dar! Waznz wanafaham fika kabisa Karume hakuplay part kwenye mapinduzi hayo lakini cha kushangaza wamejitoa ufaham na kumfuta Okello kwenye kumbukumbu zote!!
 
Wapo busy kufuta trace za ukafiri....hawa zenj ni mizogo on their own..hata wale walionunulia na maknisa ili wawe huru nao pia wamejitaidi san akufuta hiyo historia.

Hata kula bure chini ya mgongo wa walipa kodi wa bara wazenj hawajwahi appreciate na kusema hata ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…