Uchaguzi 2020 Mapingamizi halali kisheria dhidi ya mgombea nafasi ya Urais

Na yule mkurugezi was Kibamba ajiangalie sana
 
Hapa pia anajiuliza,mtu huyu ambae hajapitishwa na Tume, anaitwaje mgombea uraisi?[emoji1548][emoji1752]
 
Kuanza Kampeini mapema ni kosa chini ya sheria za ndani za CCM lakini sio kwenye sheria za nchi.[emoji1752][emoji1548][emoji1545]
 
Tatizo watanzania wengi hawajui haki zao, unaweza kuta kina lipumba na shibuda hats hili andishi hawana, wao wanakomaa tu na mapingamizi.Nawashauri ccm, wajipange kunadi Sera kwa umma, kutegemea kupita bila kupingwa wasahau, hizo zilipendwa.
 
Akatwe tu kwa kweli. Watumie sababu yoyote ile, la sivyo atatupa shida sana!
Safari hii wakataji ni wenye nchi yao, nyie endeleeni kulialia tu.Si mnasema metekeleza ilani 100%? Yeyote aweza katwa, jpm au lissu
 
Hivi kwanini anahofiwa sana mtu huyu? Najiuliza sipati majibu, unajua team nzima kuwa na hofu iliyopitiliza juu ya mtu fulani si jambo dogo
Hakuna mgombea wa kushindana na jpm wa upinzani kati ya wale 16 waliochukua fomu nje ya lissu, hakunaaa.lissu ndo anayestahili.
 

Umeshaisoma hiyo Sheria ya Gharama za Uchaguzi, 2010 inasemaje?
 
Mbona mnatia huruma hivyo! Lissu tunamkatafunua kwenye sanduku mapema sana ili azidi kuchanganyikiwa! TL hawezi kuwa Raisi wa Tanzania, labda awe raisi wa Twitter.
Wenzio wanahaha kutumia tume, mapolis ili asipitishwe kuwa mgombea, moto wake wanaujua.lissu ni motoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…