Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 Mapingamizi ya uchaguzi wa Rais Kenya: Yanayoendelea Mahakama ya Juu

Kenya 2022 General Election
Mwaka huu IEBC inaweka historia - Otiende Amollo.
FbovXL0WQAAfAq6.jpeg
 
This one is the bombshell.., nangoja nione rebuttal ya IEBC na Lawyers wa Ruto.., hii inaeza kua sababu ya kufanya uchaguzi urudiwe if they don't deconstruct hii ushahidi sufficiently .., 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Imeisha hiyo haina rejoinder infact alikuwa anafafanua swali aliloulizwa na Justice Lenaola.....kwamba how can votes magically be changed in the air
 
This one is the bombshell.., nangoja nione rebuttal ya IEBC na Lawyers wa Ruto.., hii inaeza kua sababu ya kufanya uchaguzi urudiwe if they don't deconstruct hii ushahidi sufficiently .., [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Na hakuna aliyetegemea hili.
 
Kwa mtazamo wako ni sawa.Kwa upande wangu hapana haijapanguliwa.
Ni kweli ni mtazamo tu ukizingatia hujawahi endesha kesi yeyote au kuamua hata inayohusiana na wizi wa baiskeli.
 
who do you think you are to reason such thing?

Nyie ndo mnafanya hii nchi inakuwa ngumu sana
Mawakili wa utetezi wameiomba mahakama ya juu kutupilia mbali kesi dhidi ya matokeo ya uchaguzi, maana Odinga na jopo lake wameshindwa kuthibitisha madai yao.
 
Tatizo lipo tena kubwa sana tu.

Unazungumzia maswala ambayo huna utaalam nayo.
Wewe ungekuwa na upeo nayo usingekuwa unapuyanga hapa,ungekuwa pale kwa jopo la Majudge au hata kwa Learned Friends ukidefend hoja.Midhari uko hapa unapiga porojo,na wewe huna ulijualo kama mimi hapa.
 
Screenshot_20220902-190811.png
 
Back
Top Bottom