Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Ulishawahi kuisikia GHETTO QURAN ya 50cent?Pac Ana mapini Mengi Ila kwsngu Binafsi Kwenye California Love,Dear Mama,Na Ghetto Gospel Huniambii kitu Nazikubali kinyama
Jamaa Ni Mkali Na Alikua na Hasira sana Na Hasira yake aliipeleka kwenye mapini yake Sababu Wayback kipindi anatafuta tobo Watu wengi Walimnyima Platiform Hawakumuamini kama Anaweza kuwa Rapper Mnoma kwasababu ni mzungu Maana Enzi Hivo Marapper 99% Walikua ni Maniga,Mkuu Eminem kwenye Kibao chake cha I'm Not Afraid, views kwenye YouTube Peke yake ni 3bilion.
Hapo bila kujumuisha mitandao mingine ya audio, social media kama Facebook, twitter na Insta. Roughly 6bn viewers.
Nikamwelewe kwenye sentence ndani ya Mziki alise" I will *** the universe" he did it well.
Hapana Mkuu Sjawahi isikiaUlishawahi kuisikia GHETTO QURAN ya 50cent?
Mkuu Kwenye Playlist yangu yote ya T.I Hii Sjapata Bahati ya kuiskia ngoja niichekiT.I -no matter what
Kwahiyo mkuu Huku Dillema ya Nelly au P.i.m.p ya 50 Unaenda na Kali P kati ya hizo 2😂kali p-limekaa vibaya hilo halijatulia limekaa vibaya....sijui nirudi kijijini,
Pamoja MkuuSawa Mkuu
Fid Ni East Africa Material kwa Uzi Huu Nililenga Dunia kwa ujumla,lakini kudos kwake kafanya makubwa kwenye gameKuna ule mkwaju wake unaitwa ni hayo tu wamoto mno
Naam mkuu Big Joe Ni mnomaHalafu kuna lean back. Fat joe hajawahi kualibu
Mkuu Hazichoshi kwabababu ni kaliHate me now - nas feat didy
Big poppa- notorius big
Hizo ngoma mbili huwa sichoki kuzisikiliza
Empire State of Mind🙌🙌 Ni mashine sanaKweli mkuu umelenga mulemule, mi pia binafsi nyakati za mwisho ku-enjoy hiphop ilikua 2009, nakumbuka by that time ndo niliingia mwaka wa kwanza pale udsm, ndo mwaka Jay Z alitoa Album ya moto ikijulikana kama The Blueprint 3... Ile album ilikua na ngoma za moto nilikua nazi-play zile ngoma mpaka nasahau kwenda lecture nusura nidisco...
Ile album ilikua na ngoma zote za moto kama Empire State of mind, Run this town, D.O.A ( Death of Auto-tune), On to the next one, Young forever... ilikua ni mwendo wa kuzi-replay zile ngoma mpaka raha.. Umo ndani Jay Z ametembeza flows mpaka unajiuliza huyu jamaa anatoa wapi hizo flows... Check ligoma kama Empire State of mind lile beat limenyongwa na Jigga anaruka nalo vibaya..
😂😂😂Young killer na stamina siwaoni
Itafute bado hujachelewaHapana Mkuu Sjawahi isikia
Naicheki Mda Sio Mrefu MkuuItafute bado hujachelewa
Mkuu Wutang Clan Venue Hii TMK Family Venue Ile,Unaenda TMk Over Wutang?😂
Mkuu Kuna baadhi Hapa ya Pini sikupata Bahati ya kuzisikia kama hiyo Fedro Na immortal Techniques ngoja nizicheki1. 2pac_ gettho gospel
2. 2pac _ changes
3. Fredro starr_ what iff
4. Nas_ k.i.s.s.i.n.g
5.2pac_ ain't mad at cha
6. Eminem & Jay z_ renegade
7. Immortal technique_ dance with the devil
8. Dr. Dre_ difference
9. Dr. Dre keep your head ringing
10. Eminem_ space bond
11. Eminem_ stan
12. Emimem & lil wayne drop the world
13.eminem_ toy soldiers
14..... ♾️ooops!! All eminem songs