Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
- Thread starter
-
- #81
Mkuu Ngoja nizicheki baadhi hapo sikupata bahati ya kuzisikiaLil Kim-put your lighters up
Miss Wliot-Get your freaky on
Mystical-Danger
Twista-Overnight celebrity
Chamilionaire-Ridin' dirty
Jay z & R Kelly- Fiesta remix
Tonny Yayo-So seductive
Young Jeezy-I put on
Nelly Yumo mkuu Nimemmtaja Rejea Vizuri Mkuu,Labda Faboulas na De la soul ndo sjawatajaUnawaacha wapi kina De la Soul,Fabolous,Nelly nk nk?
Kweli mkuu umelenga mulemule, mi pia binafsi nyakati za mwisho ku-enjoy hiphop ilikua 2009, nakumbuka by that time ndo niliingia mwaka wa kwanza pale udsm, ndo mwaka Jay Z alitoa Album ya moto ikijulikana kama The Blueprint 3... Ile album ilikua na ngoma za moto nilikua nazi-play zile ngoma mpaka nasahau kwenda lecture nusura nidisco...
Ile album ilikua na ngoma zote za moto kama Empire State of mind, Run this town, D.O.A ( Death of Auto-tune), On to the next one, Young forever... ilikua ni mwendo wa kuzi-replay zile ngoma mpaka raha.. Umo ndani Jay Z ametembeza flows mpaka unajiuliza huyu jamaa anatoa wapi hizo flows... Check ligoma kama Empire State of mind lile beat limenyongwa na Jigga anaruka nalo vibaya..
Beat & lyrics ni 🔥🔥Mkuu Kwenye Playlist yangu yote ya T.I Hii Sjapata Bahati ya kuiskia ngoja niicheki
Ingawa hili suala ni debatable lakini Jay Z ni GOAT wa hiphopKuna hiyo Nyimbo ya Jay Z ft Kanye West - No Church in Wild
Hii beat ya hii nyimbo na jinsi Jay Z alivyo flow ni habari nyingine. Mwamba anajua
Undisputed champion of all timeIngawa hili suala ni debatable lakini Jay Z ni GOAT wa hiphop
Fredo ana goma lake Dat be dem 🔥Mkuu Kuna baadhi Hapa ya Pini sikupata Bahati ya kuzisikia kama hiyo Fedro Na immortal Techniques ngoja nizicheki
Mkuu Tumia Neno Ni miongoni mwa GoatIngawa hili suala ni debatable lakini Jay Z ni GOAT wa hiphop
Rejea Vizuri Mkuu Wutang Clan Wapo,Pia Kuhusu Method Man Haina Haja ya kumtaja kwasababu ni member wa Wutang.Sema sijaona watu kama Method man, Naughty by nature, fugees, KRS 1, M.O.P, Onyx, Wu Tang clan, Lost Boys, Immortal technique, n.k
Naam Limeshiba sanaBeat & lyrics ni 🔥🔥
Mkuu ndio maana nikasema Jay Z kuwa GOAT wa hiphop ni debatable,... Lakini Jay Z kuwa miongoni mwa GOAT wa hiphop hilo suala liko wazi wala halihitaji mjadala dunia nzima inajua... Mkuu wakitajwa GOAT watano wa hiphop list asilimia 90 inakua Tupak, Notorious Big, Jay Z, Nas na Eminem, nenda kwenye site yoyote mara nyingi sana list inakua ndio hio...Mkuu Tumia Neno Ni miongoni mwa Goat
Hatari sana...beat moja kali sana alinyonga mwamba wa kuitwa KLC!! old good days🔥Unaachaje hii ngoma mkuu.
Move bitch, get out the way
Get out the way bitch, get out the way
Move bitch, get out the way
Get out the way bitch, get out the way
By Luda cris.
Huu ni mjadala Mkuu,Ila umeliweka Vizuri Jay Z Kuwa Goat Wako Kwa wote.Mkuu ndio maana nikasema Jay Z kuwa GOAT wa hiphop ni debatable,... Lakini Jay Z kuwa miongoni mwa GOAT wa hiphop hilo suala liko wazi wala halihitaji mjadala dunia nzima inajua... Mkuu wakitajwa GOAT watano wa hiphop list asilimia 90 inakua Tupak, Notorious Big, Jay Z, Nas na Eminem, nenda kwenye site yoyote mara nyingi sana list inakua ndio hio...
Jay z kuwa one of the GOAT wa hiphop hio ni more than obvious LAKINI Jay z kuwa hiphop GOAT hilo suala ni mjadala... Mimi binafsi naona Greater of all time ni Jay Z na wewe pia unaweza ukamtaja mwingine na mashabiki wengine pia wakataja machaguo yao..Huwa namkubali sana Tupak lakini hakuwa na longevity kwenye game so ana tracks kali chache kwa sababu alikufa mapema lakini Jay Z ana mapini mengi sana kwa sababu amefanya muziki muda mrefu sana.
Ni kama kwenye football, GOAT wanne wa football in most cases list inakua ni Pele, Maradona, Messi na Ronaldo, sio mara zote lakini 90 percent list inazunguka hapo... Lakini GOAT wa football mimi naona ni Messi, wengine wanaona ni Ronaldo, Pele na wengine wanaona ni Maradona. Kwa hiyo na hapo hilo suala limekua ni debate pia.