Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Aiseeh!
1. Mungu mwenyewe anajua. Na yeye ndiye ataamua.
2. Moyo usinifanyie hivyo. Nimejikuta katika Hali ya kupatwa na simanzi nilipoiona video ya Jovin Yule kijana aliyembeba mhaini mwenzake aliyevunjwa miguu.
3. Video inamuonyesha Jovin akipokelewa huko kwao Arusha kama sijakosea.
4. Aisseh! Mungu mwenyewe anajua. Video hiyo kwa mtu yeyote aliyoiona lazima aumbie moyo wake usinifanyie hivyo.
5. Ni video inayotia simanzi na kutafakarisha Sana. Ingawaje yenyewe ikionyesha jovin akipokelewa kifalme kama shujaa.
6. Mapokezi Yale ndugu sio kwamba wanamaisha ya kitajiri lakini upendo ni zaidi ya utajiri.
7. Sasa moyo wangu ulienda mbali Sana. Maskini ya MUNGU. Aiiseeh! Mungu ataamua.
8. Kuna mambo mengi Sana ya kujifunza. Wakati wengine wakifurahia watoto wao kurudi wapo ambao watoto wao hawajulikani walipo..
Na tupo Sisi ambao tupo kama tulivyo. Yote ni maisha. Na dunia ndivyo ilivyo.
Moyo usinifanyie hivyo