ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,235
Kwa hiyo kila ndege ikija ni lazima ipokelewe na Rais?, Hivi ni vichekesho kwa kweli
kama nawaona akina fatma na genge lao 😄 😄 😄Ratiba hiyo inajielezaView attachment 1292057
Sio rais tuu, naona sika, makamu wa rais, waziri mkuu..... Halafuu ni Mwanza... Hebu waza hizo gharama na usumbufu wa misafara barabarani. Bado gharama za Kabudi na mawakili walio kwenda Canafa. Hatujaambiwa mzungu kalipwa au ataikamatia tena India[emoji288]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja imetolewa ngoja hoja ipanguliwe.Hivi kuna maelezo yoyote jinsi ndege ilivyoachiwa? tumelipa au tumesamehewa na kama tumelipa ni kwamba deni tumemaliza au kuna hatari ya kukamatwa tena kwa kutoheshimu makubaliano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ratiba hiyo inajielezaView attachment 1292057
Mkuu Tulimumu,ukiona hakuna tambo za zile PhD za sheria kushinda kesi ujue mkulima kalipwa chake zingine ni tambo tu za ki ccm hazina madhara yoyote ila kujifedhehesha wenyewe.tu,usisahau ile ya kwanza ilipokamatwa huko huko Canada walilipa kimya kimya.Tunaomba kujua je tumemlipa mkulima pesa zake, tumesamehewa au tumeshinda kesi? Hoja hizo zijibiwe kwanza
Kwani Nyerere alikuwa mshamba?Hivi nyerere naye akikuwa akienda kupokea ?
Hivi kuna maelezo yoyote jinsi ndege ilivyoachiwa? tumelipa au tumesamehewa na kama tumelipa ni kwamba deni tumemaliza au kuna hatari ya kukamatwa tena kwa kutoheshimu makubaliano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kuanzia sa sita mchana watu wamesubiri ndege. Na wengi wao wamesafirishwa kutoka chatoRatiba hiyo inajielezaView attachment 1292057
StupidSio rais tuu, naona sika, makamu wa rais, waziri mkuu..... Halafuu ni Mwanza... Hebu waza hizo gharama na usumbufu wa misafara barabarani. Bado gharama za Kabudi na mawakili walio kwenda Canafa. Hatujaambiwa mzungu kalipwa au ataikamatia tena India[emoji288]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kila ndege ikija ni lazima ipokelewe na Rais?, Hivi ni vichekesho kwa kweli
You are extending ur stupidity, shida ni ndege kupokelewa wapi au mpokeaji?Kwa hiyo Rais angekuwa yupo Kigoma, basi mapokezi yangefanyikia Kigoma?
Kwa nini nayo isipokelewe Dar, na Makamu wa Rais? Au huyo Samia ni BOYA tu?