CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Hebu fafanua hapo kwenye kisasi, kwani bimkubwa amefanyaje tenaNimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Mswahili tangu lini akaweza kazi?Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Labda kura kwa wazanzibar wanaoishi hiyo mikoaAcha ujinga-Kagera,Mara,Simiyu na Tabora mama atazoa kura za kutosha,zitapungua kidogo Mwanza na Geita ila kote huko hakuna chama cha kuishinda ccm kwenye nafasi ya Rais...
Nyie wapinzani na sukuma gang hangaikeni na madiwani na wabunge.
Pambania maisha yako tu,Unadhani kura ndio zinaamua basi!..Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Ukiwa na akili timamu huwezi kuchagua CCMAcha uongo ni lini CCM iliwahi kuwa na ushawishi Kanda ya ziwa zaidi ya enzi za JPM kwa turufu ya ukabila!!
In fact Mara, Simiyu, na Kagera mpaka ukerewe, Nyamagana na Shinyanga Chadema iliperform better 2015. Hapo Geita mjini licha ya wizi CHADEMA ikipata 17,000 huku CCM ikishinda kwa 30,000 hivi Hilo gap ndio kusema upinzani haupo Kanda ya ziwa!!
Get serious
Wapigakura wa mikoa uliyotaja si wapumbavu kiasi unachodhani eti akazoe kura huko.Acha ujinga-Kagera,Mara,Simiyu na Tabora mama atazoa kura za kutosha,zitapungua kidogo Mwanza na Geita ila kote huko hakuna chama cha kuishinda ccm kwenye nafasi ya Rais...
We utafeli Sana nausukuma gang wako we bashiruNimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Kwani Kabla ya dhalimu CCM ilikua inashinda kihalali?Ccm hawategemei kura na dhalimu ndio muasisi wa tabia hiyo. Isitoshe hakuna mtu anajitambua atashiriki uchaguzi wa kishenzi.
Upinzani sio chama.. ni matatizo ya wananchi.Kwa sasa ni ngumu upinzani kumchallenge
Mbinu aliyoitumia kuwakamata imefanikiwa sana kuliko ya mwenzake
Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Atazoa ,sasa unadhani watamchagua nani? Lisu au? ππWapigakura wa mikoa uliyotaja si wapumbavu kiasi unachodhani eti akazoe kura huko.
Mkoa wa Mara,tuliona kwenye ziara alipata mapokezi makubwa na ametekeleza miradi ya kuzidi huko..Mara ipi hiyo aisee nahisi unaumwa ww
Wanasema bora kuchagua mbuzi watamnywa supuAtazoa ,sasa unadhani watamchagua nani? Lisu au? ππ
Haiwezi kutokea na hakuna wa kumshinda SSH 2025, hayupoWanasema bora kuchagua mbuzi watamnywa supu
We fala albino unaongea nini? Mtamchagua hata Kwa bakora na hamna cha kufanya ππBoga wewe territory zetu zikiamua hamna kikabila kitatushinda.
Kwa takwimu za 2012 Wasukuma tuko 14 million hapa nilikuwa sijazaa mibuyu yangu minne hii 2022 tutakuwa wangapi?
Na kikabila chako hicho kinachopatikana wilaya moja
Na ww unajifanyaga mtetezi wa rais mpumbavu wwHaiwezi kutokea na hakuna wa kumshinda SSH 2025, hayupo
Ulitaka nimtetee mama yako? Ana faida gani kwenye Nchi zaidi ya kuwa mpiga kura?
Una data?Haiwezi kutokea na hakuna wa kumshinda SSH 2025, hayupo
Hayupo wewe elewa hivyo,mpaka sasa huyu ndio mgombea aliyeko na anafanyiwa tathmnini sasa mgombea wenu wa mchongo hadi sasa hajulikani na nani amchague kwa mfano..Una data?