peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
zingatia hili ndg, ccm haishindi uchaguzi kwa kupitia sanduku la kura, ccm inashinda uchaguzi kwa kupitia nguvu ya dola.Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Bwanga cha mtoto, kahama, Katoro na mwanza ni shida tuHivi Bwanga ina-count asilimia ngapi ya wapiga kura wa Tanzania?
Watu watakaokuwa na wakati mgumu sana katika chaguzi zijazo, ni wale walikuwa na shikamano na marehemu. Hawa wanahesabika ni sehemu ya uovu wa marehulemu:
Kalemani, Kabudi, Polepole, Bashite, Chamuriho, Bashiru, n.k. Hawa wasifikirie maisha ya kutegemea siasa tena.
Dah! Kweli wapinzani wa bongo hampo serious kabisa, yani unasema Magufuli ndio kaanzisha ccm kutotegemea kura? Mimi naona ccm wanatakiwa wamshukuru sana Magufuli maana anabeba lawama zote yeye na kuiacha ccm kuwa safi kwa kusahauliwa maovu yake yote.Ccm hawategemei kura na dhalimu ndio muasisi wa tabia hiyo. Isitoshe hakuna mtu anajitambua atashiriki uchaguzi wa kishenzi.
CC: NapeDah! Kweli wapinzani wa bongo hampo serious kabisa, yani unasema Magufuli ndio kaanzisha ccm kutotegemea kura? Mimi naona ccm wanatakiwa wamshukuru sana Magufuli maana anabeba lawama zote yeye na kuiacha ccm kuwa safi kwa kusahauliwa maovu yake yote.
Nape na bao la mkono ila bado lawama anabeba Jiwe.CC: Nape
Acha ujinga-Kagera,Mara,Simiyu na Tabora mama atazoa kura za kutosha,zitapungua kidogo Mwanza na Geita ila kote huko hakuna chama cha kuishinda ccm kwenye nafasi ya Rais...
Nyie wapinzani na sukuma gang hangaikeni na madiwani na wabunge.
Tukitaka amani ya kweli Tanzania wafuatao inatakiwa mungu afanye yake:Nape na bao la mkono ila bado lawama anabeba Jiwe.
Kwani Kabla ya dhalimu CCM ilikua inashinda kihalali?
CCM ibaki safi wakati nimesema ccm haitegemei kura kubaki madarakani?!Dah! Kweli wapinzani wa bongo hampo serious kabisa, yani unasema Magufuli ndio kaanzisha ccm kutotegemea kura? Mimi naona ccm wanatakiwa wamshukuru sana Magufuli maana anabeba lawama zote yeye na kuiacha ccm kuwa safi kwa kusahauliwa maovu yake yote.
Lisu wa nini?! Chadema hata akiwekwa mdude nyagali atashinda kwa kishindo.Atazoa ,sasa unadhani watamchagua nani? Lisu au? 😂😂
Kwenye uchaguzi huwajui wasukuma. Kuwa mpoleKisasi kwa kosa lipi? Wasukuma washamba sana nyie
Mtafanya nini nyie? Na mlivyo waoga waoga + ushamba mwingiKwenye uchaguzi huwajui wasukuma. Kuwa mpole
Muulize Lowassa aliona mapigo yetuMtafanya nini nyie? Na mlivyo waoga waoga + ushamba mwingi
Shangaa Wakati Alikuwa anapita zake kuelekea Kagera..Kisasi kuhusu nini?
Unaona watoto wa shule kweli hapo kwenye picha yako na hii videoNimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Sukuma gang wote hawaamini kama magu alikufa kufo cha kawaidaAcha ujinga-Kagera,Mara,Simiyu na Tabora mama atazoa kura za kutosha,zitapungua kidogo Mwanza na Geita ila kote huko hakuna chama cha kuishinda ccm kwenye nafasi ya Rais...
Nyie wapinzani na sukuma gang hangaikeni na madiwani na wabunge.
Sukuma Gang mshindwe na mlegee kabisa!Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
View attachment 2254641
Watu wanachoshwa na CCMMimi kazini kwangu, kura ya uhakika kwa CCM ni yangu tu. Sijui kwa nini hawampendi