Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mbarawa kamuingiza mama Samia mkenge mbaya sana.Mkataba wa hovyo sana, kama vile alieweka saini yake hapo alikuwa amelewa.
Kumhusisha Mbarawa bila huyo mama sio sahihi, mimi naamini kabisa, huyo mama ndie aliyemuingiza Mbarawa mkenge, ameenda Dubai kuhongwa, picha yake ikawekwa kwenye lile jengo refu duniani, ni yeye pekee ndie anayejua siri ya ile offer, ndio maana hajamgusa Mbarawa mpaka leo.Mbarawa kamuingiza mama Samia mkenge mbaya sana.
Kabisa mkuuKuna ulazima wa kumuiga yule mbabe wa Wagner groups ili kuuondoa huu mkataba wa carlpeters wa Dubai
Na kujipakaa Lip stick kila saayeye anaziba masikio tu
Mbarawa kamuingiza mama Samia mkenge mbaya sana.
Mkataba wa DP World ni ajali ya Kisiasa ambayo amemtengenezewa Saa100 kuelekea 2025, na ajali hiyo imefanikiwa vema.
Kama hata haya wameshindwa kuyaona hatuna viongozi tuna mambumbumbu.
Angalia March 2021- March 2023 tumekopa Trilioni ngapi? Utajifunza kitu kuhusu Saa100.Yaani watu wameshupaza mishipa ya shingo kabisa kutetea