Mapungufu 10 ya Mkataba wa Bandari na DP World

Mapungufu 10 ya Mkataba wa Bandari na DP World

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania.

Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.

1687761662681.jpeg
 
Mbarawa kamuingiza mama Samia mkenge mbaya sana.
Kumhusisha Mbarawa bila huyo mama sio sahihi, mimi naamini kabisa, huyo mama ndie aliyemuingiza Mbarawa mkenge, ameenda Dubai kuhongwa, picha yake ikawekwa kwenye lile jengo refu duniani, ni yeye pekee ndie anayejua siri ya ile offer, ndio maana hajamgusa Mbarawa mpaka leo.
 
Mbarawa kamuingiza mama Samia mkenge mbaya sana.
Halafu wanaona wako sahihi kabisa licha ya mapungufu mengi ya kimkataba yaliyo wazi kabisa nafikiri hili ilikuwa baina ya Samia na Mbarawa sidhani kama kuna Mwanasheria angeruhusu vipengele vyema utata kwa nchi yetu namna hiyo, huu ni Umangungo uliokubuhu unateteaje mkataba wa namna hii ?
 
Yaani watu wameshupaza mishipa ya shingo kabisa kutetea
Angalia March 2021- March 2023 tumekopa Trilioni ngapi? Utajifunza kitu kuhusu Saa100.
 

Attachments

  • 38E23589-2110-413F-9E4E-6D9B9CBFE37D.jpeg
    38E23589-2110-413F-9E4E-6D9B9CBFE37D.jpeg
    75.5 KB · Views: 13
Back
Top Bottom