Mapungufu 10 ya Mkataba wa Bandari na DP World

Mapungufu 10 ya Mkataba wa Bandari na DP World

Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania.

Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.

View attachment 2669104
wanataka haki ya kumiliki ardhi, ardhi gani sasa, waseme wanataka haki ya kumiliki bandari. kwasababu hawapewi ardhi mpya ili wajenge, wanapewa bandari ambayo tayari tulishaijenga miaka nenda rudi wao wanaiendesha tu, kwahiyo tunawagawia majengo na miundombinu yooote na ardhi tunawapa, halafu tunawapa na double taxation kwao. just imagine.

lakini naamini wamekuja kuwaamsha watanzania, watatufanya tuwe na umoja zaidi dhidi yao na kupata magufuli mwingne atakayewapiga kerubu moja watakimbia kwa mguu hadi uarabuni.
 
Angalia March 2021- March 2023 tumekopa Trilioni ngapi? Utajifunza kitu kuhusu Saa100.
Hv pesa zote hizo wanafanyia shughuli ipi hasa!!? Manake kodi za ndani bado wanakusanya, Bandari ndio hiyooo inakwenda? Maisha ya watanzania bado magumu kuanzia kwenye huduma za afya, elimu,ajira na mengineyo kweli fisiemu ni mzigo wa miba
 
Naomba mwenye "version" ya Kiingereza ya Ibara 4(2) atutumie (ikiwezekana na hizo ibara zingine). Nimemsikiliza Prof. Anna Tibaijuka na alinukuu kipengele cha 4 kama ifuatavyo "Tanzania will inform Dubai of any other opportunity...". Kama hicho kipengele cha 4 alichosema Prof. Tibaijuka ndiyo Ibara 4(2) je neno "kulazimika" linatoka wapi?
Matumizi ya maneno "shall" na "will" kwenye mikataba - Rejea Difference Between Will and Shall in Contracts | Compare the Difference Between Similar Terms
 
Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania.

Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.

View attachment 2669104
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania.

Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.

View attachment 2669104
Mbona Bunge limesha ridhia
Wew bado unachambua mambo ya Uongo tuu. hebu soma hapa.
Mkataba huu ukiwa feki itawalazimu kuwajibika wengi tuu, kwani wameshiriki wengi kusimamia na kuupitisha.
 
Attachments

Mbona Bunge limesha ridhia
Wew bado unachambua mambo ya Uongo tuu. hebu soma hapa.
Mkataba huu ukiwa feki itawalazimu kuwajibika wengi tuu, kwani wameshiriki wengi kusimamia na kuupitisha.
Unatetea nini wakati waarabu umewaingiza hadi nguoni mwako!
 
Mbona uzi wako haujataja hayo mapungufu 10?
1687787400602.png

Tusiwe wavivu wa kusoma n kuelewa.
 
Wengi wamejitokeza kutetea mkataba huu lakn hakuna anayetuambia yafuatayo

Mkataba utaisha lini?

Ni kweli bandar zote zitachukuliwa?

Mm mbumbumbu au maamuma wa sheria naomba mnifafanulie

Maana hata GESI YA MSIMBATI mlituambia kuwa Bei ya umeme itashuka tulipohoji mkatuambia tusohofu lakn leo umeme n ghali had imetubid tuchimbe bwawa la umeme

Sasa n hili la bandari msiishie tu kutuambia kuwa mkataba n mzur tuchambulieni bas vifungu vyote tujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania.

Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.

View attachment 2669104
Lazima kuna upande utatema mdomo tu
Hii first half ya DP world haijaisha
 
Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania.

Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.

View attachment 2669104
Mzee wa mabambasi.. acha uchochezi!! Jaji ashatolea ufafanuzi na kasema hakuna mkataba wa vifungu fikirishi 🤣🤣🤣🤣
 
Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania.

Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.

View attachment 2669104
TRA wanakusanya trilioni 7 hivi sasa. Ikifungwa mitambo ya kisasa watakusanya mpaka trilioni 26.

Hayo yote uliyoandika yanarekebishika na kujadilika. Cha muhimu bandari yote iepuke hizi foleni za meli kuingia ambazo zinapandisha moja kwa moja bei za bidhaa.

Huu urasimu wa pale bandarini ikiwa huuoni na haukugusi maisha yako, wale wanaokerwa na kushindwa kufanya biashara zao wakijikuta wanafilisika kwa sababu ya ushenzi wa pale TPA wameshauona na ndio wamependekeza ujio wa DPW.

Ukiwa unatumika kwa kukaa tu mbele ya laptop yako ukiyafanyia kazi maslahi ya Kenya au adui mwingine wa uchumi wetu, jua kwamba siku za hao waliokutuma zinahesabika.
 
Mbarawa kamuingiza mama Samia mkenge mbaya sana.
Itabidi nikuombe wewe msamaha, kwamba sikumfahamu Mbarawa wakati ule wa Magufuli. Sijui kama unakumbuka ninachosema hapa.

Lakini bado sikubaliani nawe juu ya "Marawa kamuingiza mama Samia mkenge..."

Kama kuna mtu anayewaingiza watu wengine "mkenge" siyo mwingine bali ni Samia mwenyewe anayefanya hivyo.

Mwisho, inanibidi nikubali kwamba, pengine kutokana na tamaduni au malezi uliyopata utotoni na kuendelea kuwa kama tamaduni kwako, ni kutowaona viongozi wakuu kuwa wao pia wanao uwezo wa kufanya makosa bila ya kuingizwa mkenge na washauri wao.
Tulitofautiana juu ya hili pia wakati wa Magufuli, ndiyo maana naona ni kama tamaduni fulani iliyokuingia sana akilini.
 
Hayo yote uliyoandika yanarekebishika na kujadilika.
Hili ndilo la muhimu, hizo habari zingine ni porojo tu!
Sasa kumbe unakubali kwamba kuna yanayohitaji "kurekebishwa"!

Siku zote hizo ulizovimbisha shingo humu ukumbini na hao "wanasheria wenye Ph.D"; marekebisho haya walikuwa hawayaoni?

Hii tayari ni aibu kwa hao mnaowafanyia kazi hii hapa, kwa kushindwa kwenu kufanikisha mliyotumwa. kuyafanya.
 
Back
Top Bottom