kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Mbeya
Mbeya ya pwani kaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya
Mbeya labda umalilaMbeya
Umesikia ukitaka tdh usiwe na kitambi🤣🤣🤣🤣 ila 🍑 uwe nalo😂
😂 Mniache
🙄 Kupigwa tena, mimi hapana sipo hukoUkweli mtupu sii nyie ndio mnakuwaga na kidomo domo nipe nipe kama wee mwanaume kweli. Sasa hapo kwa nini usizabuliwe kofi
Juz kuna mwamba alikuwa anakuulizia huku...naona umerud kwa kasi ya ajabuUsiwe sooo much good, ukiwa hivyo unakua unaboa na unakua sio mtamu...."bad boys are so sweet and addictive" you know wora m saying?
Kitambi sina na taqo sina asa itakuaje?Umesikia ukitaka tdh usiwe na kitambi🤣🤣🤣🤣 ila 🍑 uwe nalo
Wee najua huwezi pigwa kwanza ulivyokuwa na heshima na de libolo🙄 Kupigwa tena, mimi hapana sipo huko
Changamkia basi😊Hongera ,,,watu wanabahati jamani wanazichezea😀wengine tunatafuta wapole Kama hivi wengine wanawapiga teke..😅😅
Dah sasa hapo changamoto,🤔🤔🤔🤔 ngoja nionge na mtaalam atasemajeKitambi sina na taqo sina asa itakuaje?
hapo Musoma wazima Bhoke?Mungu anisamehe kama itakua ni dhambi....Me sipendi mwanaume mpole nataka Yale mapenzi nmechezea vibao kidg.... Badae anakuja kuniomba msamaha
😂😂😂 Tayar mambo yameparanganyikaDah sasa hapo changamoto,🤔🤔🤔🤔 ngoja nionge na mtaalam atasemaje
Usikate tamaa sie tutakuoa muongozoDah sasa hapo changamoto,🤔🤔🤔🤔 ngoja nionge na mtaalam atasemaje
Eti eeh 😃😃Wee najua huwezi pigwa kwanza ulivyokuwa na heshima na de libolo
Kweli mambo si mambo umeanza kujiqoute mwenyeweUsikate tamaa sie tutakuoa muongozo
Ndio...pamaoja na mapungufu yako ila unajua kuheshimu mwanaume na de libolo lakeEti eeh 😃😃
Me sio mkurya mkuu....Mimi ni Pisi ya usukumanihapo Musoma wazima Bhoke?
Huitaji kubadilika, utampata wa viwango vyako, dont lower your standards to fit in.nisaidie nifanye nini?
Ni wale wale tu naisha nao huku nao wanapenda ubabe sanaa..Me sio mkurya mkuu....Mimi ni Pisi ya usukumani