Kuumizwa hakuna formula hapo ni vile tu mifano nliyotoa ni ya wanaume walioumizwa lkn hata wanawake wapo wanaachwa kipindi akilalia ubavu nyonyo moja inashuka hadi inaifunika nyingine shape ishapotea kama kiwavi huna tena mvuto uchumi unadema dema afu unapigwa chiniMnajifanyaga wagumu tu ila kuna kona mkibanwa hamfurukuti mnavurugika ubongo hiyo mifano uliyotaja hapo ni ushahidi tosha ongezea ndikumana wa uwoya
mjuba, k ya mke wako ni tamu kuliko k zingine, hata mkiachana utakuwa unaiwaza tu hiyo kWanaume mkiachwa muachike kei mbona ni nyingi za kuzoa
Kwa mfano uliotoa nyie mnaongoza ubao,, sisi tunauvumilivu wa hali ya juu sana linapokuja suala la kuachwaKuumizwa hakuna formula hapo ni vile tu mifano nliyotoa ni ya wanaume walioumizwa lkn hata wanawake wapo wanaachwa kipindi akilalia ubavu nyonyo moja inashuka hadi inaifunika nyingine shape ishapotea kama kiwavi huna tena mvuto uchumi unadema dema afu unapigwa chini
Sasa mjuba ndo ajichukulie sheria mkononi,,, mjuba kafeli kama kafanya kweli,mjuba, k ya mke wako ni tamu kuliko k zingine, hata mkiachana utakuwa unaiwaza tu hiyo k
Wanawake wanaumizwa sana tu sema wanakosa namna ya kureact kwa sababu ya tamaduni zetu mda mwingine wanawake wanakuaga na 'shock absober' ambao inaweza kua watoto, mahusiano ya siri/mfariji au ndugu.Kwa mfano uliotoa nyie mnaongoza ubao,, sisi tunauvumilivu wa hali ya juu sana linapokuja suala la kuachwa
haya mambo we acha tu, ndoa tamu ila ikioza unaweza kumteketeza mwenzi wako badala ya kumkimbiaSasa mjuba ndo ajichukulie sheria mkononi,,, mjuba kafeli kama kafanya kweli,
Hii habari imenitishaRhoda Jonathan (46), mkazi wa Kitongoji cha Burunga, Kata ya Uwanja wa Ndege, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, ameripotiwa kuuawa kikatili kwa kukatwa mapanga hadi kufa.
Marehemu alikuwa mke wa Mhandisi Wilson Charles, Meneja wa TARURA - Kagera, ambapo wawili hao wamejaliwa watoto watatu. Imeelezwa Marehemu na mtuhumiwa hawakuwa wakiishi pamoja kwa takriban miaka mitano, lakini walikuwa wakiwasiliana
Tukio hilo lilitokea usiku wa Oktoba 23, 2025, majira ya saa moja na nusu usiku, nyumbani kwa marehemu, ambapo inadaiwa watu wawili waliruka ukuta na kuingia ndani kabla ya kutekeleza mauaji hayo
Mashuhuda walisema mwili wa marehemu ulikutwa umekatwa mapanga sehemu mbalimbali, ikiwemo kiganja cha mkono wa kulia kilichokatwa na kuachwa chini, huku mwili wake ukiwa pembeni ya kitanda na majeraha makubwa kifuani, mdomoni na mikononi.
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Burunga, James Makuru Marwa, alithibitisha tukio hilo na kueleza kuwa alipokea taarifa kutoka kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Serengeti kabla ya kufika eneo la tukio.
Ameeleza kuwa, siku iliyofuata, panga lenye damu lilipatikana jirani na eneo la tukio, na Polisi walilikusanya kwa ajili ya uchunguzi zaidi
Aidha, Kijana aliyekuwa akiishi nyumbani kwa marehemu, Mophati Mwita (14), alieleza kuwa wakati alipokuwa jikoni akipika, mwanafunzi aliyepanga nyumbani hapo alimwona mtu akiruka ukuta na kuingia ndani.
“Yule mtu alimuuliza mwanafunzi kama mama yupo, na ghafla mwanaume mwingine akaingia moja kwa moja hadi chumbani. Shangazi (marehemu) alianza kupiga kelele, mwanafunzi akakimbia kutoa taarifa shuleni”. Alisema alishuhudia watu hao wakiondoka baada ya kufanya mauaji, lakini hakuwatambua
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo, amethibitisha kushikiliwa kwa mume wa marehemu kwa uchunguzi zaidi kuhusiana na tukio hilo, lililozua mzozo mkubwa kati ya familia za marehemu na mtuhumiwa, ambapo kila familia inataka msiba uwekwe kwao.
View attachment 3494055
Ya kwako pia inazoleka?Wanaume mkiachwa muachike kei mbona ni nyingi za kuzoa
Duhsababu haijaelewka hapo polisi wamehisi tu bado wanaendelea na uchunguzi, je kama ni mambo ya kikazi kuchomeshana nk tuwe na subira tusichafue watu haraka
oktoba nitatiki, mama sqmia we ni mama angu
IseeHii habari imenitisha
Anashikiliwa kwa tuhuma, haijathibitika kama kweli amemuua.Mhandisi kinganganizi sasa anaenda kunyea debe
Mapenzi🚯🚯🚯🚯🚯Rhoda Jonathan (46), mkazi wa Kitongoji cha Burunga, Kata ya Uwanja wa Ndege, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, ameripotiwa kuuawa kikatili kwa kukatwa mapanga hadi kufa.
Marehemu alikuwa mke wa Mhandisi Wilson Charles, Meneja wa TARURA - Kagera, ambapo wawili hao wamejaliwa watoto watatu. Imeelezwa Marehemu na mtuhumiwa hawakuwa wakiishi pamoja kwa takriban miaka mitano, lakini walikuwa wakiwasiliana
Tukio hilo lilitokea usiku wa Oktoba 23, 2025, majira ya saa moja na nusu usiku, nyumbani kwa marehemu, ambapo inadaiwa watu wawili waliruka ukuta na kuingia ndani kabla ya kutekeleza mauaji hayo
Mashuhuda walisema mwili wa marehemu ulikutwa umekatwa mapanga sehemu mbalimbali, ikiwemo kiganja cha mkono wa kulia kilichokatwa na kuachwa chini, huku mwili wake ukiwa pembeni ya kitanda na majeraha makubwa kifuani, mdomoni na mikononi.
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Burunga, James Makuru Marwa, alithibitisha tukio hilo na kueleza kuwa alipokea taarifa kutoka kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Serengeti kabla ya kufika eneo la tukio.
Ameeleza kuwa, siku iliyofuata, panga lenye damu lilipatikana jirani na eneo la tukio, na Polisi walilikusanya kwa ajili ya uchunguzi zaidi
Aidha, Kijana aliyekuwa akiishi nyumbani kwa marehemu, Mophati Mwita (14), alieleza kuwa wakati alipokuwa jikoni akipika, mwanafunzi aliyepanga nyumbani hapo alimwona mtu akiruka ukuta na kuingia ndani.
“Yule mtu alimuuliza mwanafunzi kama mama yupo, na ghafla mwanaume mwingine akaingia moja kwa moja hadi chumbani. Shangazi (marehemu) alianza kupiga kelele, mwanafunzi akakimbia kutoa taarifa shuleni”. Alisema alishuhudia watu hao wakiondoka baada ya kufanya mauaji, lakini hakuwatambua
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo, amethibitisha kushikiliwa kwa mume wa marehemu kwa uchunguzi zaidi kuhusiana na tukio hilo, lililozua mzozo mkubwa kati ya familia za marehemu na mtuhumiwa, ambapo kila familia inataka msiba uwekwe kwao.
View attachment 3494055
Nafuta kauli yangu ya awali na nakubaliana na weweAnashikiliwa kwa tuhuma, haijathibitika kama kweli amemuua.
Mnajifanyaga wagumu tu ila kuna kona mkibanwa hamfurukuti mnavurugika ubongo hiyo mifano uliyotaja hapo ni ushahidi tosha ongezea ndikumana wa uwoya