Mara: Boss wa TARURA ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za mauji ya mke wake

Mara: Boss wa TARURA ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za mauji ya mke wake

Before people start bashing marriages again,

Kuna vitu humu duniani ni priceless , havina thamani ya vitu vya kimwili na huwezi kumlazimisha mtu kukupa.

Hutolewaga bure. Havitoki kwenye ulimwengu huu.

Kosa kubwa tunafanya ni kulazimisha binadamu wengine kutupatia hivi vitu.

Mwili, pesa, sio sarafu za kununua Upendo, Uaminifu, Loyalty, Heshima etc.

Stop investing your body, your money, your time, your energy etc to get those things.

Ukiona binadamu hakupi hivi vitu bure, by all means toa uwepo wako mbele ya huyo mtu.

No amount of investment will get you this. Inaweza kukunulia maigizo, mpaka watakapopata walichokitaka au mpaka wakichoka kukuigizia.

Hawa wanaoua wenzao, au wanaoita wenzao simps n.k ndo design ya watu ambao walifanya bad investment. Unajitoa unajimaliza kupata vitu ambavyo ulipaswa kupata bure.

Kutapeliwa kupo na unaweza tapelika vizuri tu hata kama ulijiandaa vipi. Unafanya nini baada ya kujua umetapeliwa? Ndo tunapotofautiana hapo. Mwingine atapotezea mwingine atakuua kikatili sana.
 
Huyo mhandisi mpaka kafika kuwa senior ni mtu mzima sana ambao zamani walifocus sana na kusoma hakua na muda na mapenzi huenda huyo ndo manzi yake wa kwanza ko kuachana kulimtesa sana
Uko sahihi......wanaume tunaofanikiwa kwa kuhustle sana. Wanawake wanatuchukulia poa sana.
 
Mbona kuna utata? Yaani watu wawili ndio walienda kufanya mauji? Inakuwaje mume wake ahusishwe kwenye mauaji hayo? Kwani kulikuwa na ugomvi kwa wanandoa hao? Je kama huyo mama alishapa shefa jingine huku anaendeleza penzi kwa mume wake waliyetengana si hilo shefa linaweza kupatwa na wivu na kuamua kufanya mauaji? Ukute hilo shefa ndio linamghamikia huyo mama huku likidanganyika kuwa waliishaachana kumbe bado afisa ana mahusiano na mke wake!
Hata mim nina wasiwasi,watu wameachana wana miaka mitano afu leo ndo aamue kumuua

Tatizo lililopelekea mhandisi kukamatwa ni mawasiliano na huyo mama,
 
Ni upuuzi ni ujinga ni ushamba ni usenge unaachana na demu au mke aliyekuwa wako na bado unamfuatilia
Fungua ukurasa mpya na usonge mbele pamoja na kuwa bado watakuumiza wengi ila ipo siku utakutana na wako nawe utafurahia maisha hadi ujute muda uliopoteza kwa mwanamke kahaba
 
Back
Top Bottom