Strategist7
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 810
- 1,644
Before people start bashing marriages again,
Kuna vitu humu duniani ni priceless , havina thamani ya vitu vya kimwili na huwezi kumlazimisha mtu kukupa.
Hutolewaga bure. Havitoki kwenye ulimwengu huu.
Kosa kubwa tunafanya ni kulazimisha binadamu wengine kutupatia hivi vitu.
Mwili, pesa, sio sarafu za kununua Upendo, Uaminifu, Loyalty, Heshima etc.
Stop investing your body, your money, your time, your energy etc to get those things.
Ukiona binadamu hakupi hivi vitu bure, by all means toa uwepo wako mbele ya huyo mtu.
No amount of investment will get you this. Inaweza kukunulia maigizo, mpaka watakapopata walichokitaka au mpaka wakichoka kukuigizia.
Hawa wanaoua wenzao, au wanaoita wenzao simps n.k ndo design ya watu ambao walifanya bad investment. Unajitoa unajimaliza kupata vitu ambavyo ulipaswa kupata bure.
Kutapeliwa kupo na unaweza tapelika vizuri tu hata kama ulijiandaa vipi. Unafanya nini baada ya kujua umetapeliwa? Ndo tunapotofautiana hapo. Mwingine atapotezea mwingine atakuua kikatili sana.