Mara: Boss wa TARURA ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za mauji ya mke wake

Mnajifanyaga wagumu tu ila kuna kona mkibanwa hamfurukuti mnavurugika ubongo hiyo mifano uliyotaja hapo ni ushahidi tosha ongezea ndikumana wa uwoya
Kuumizwa hakuna formula hapo ni vile tu mifano nliyotoa ni ya wanaume walioumizwa lkn hata wanawake wapo wanaachwa kipindi akilalia ubavu nyonyo moja inashuka hadi inaifunika nyingine shape ishapotea kama kiwavi huna tena mvuto uchumi unadema dema afu unapigwa chini
 
Before people start bashing marriages again,

Kuna vitu humu duniani ni priceless , havina thamani ya vitu vya kimwili na huwezi kumlazimisha mtu kukupa.

Hutolewaga bure. Havitoki kwenye ulimwengu huu.

Kosa kubwa tunafanya ni kulazimisha binadamu wengine kutupatia hivi vitu.

Mwili, pesa, sio sarafu za kununua Upendo, Uaminifu, Loyalty, Heshima etc.

Stop investing your body, your money, your time, your energy etc to get those things.

Ukiona binadamu hakupi hivi vitu bure, by all means toa uwepo wako mbele ya huyo mtu.

No amount of investment will get you this. Inaweza kukunulia maigizo, mpaka watakapopata walichokitaka au mpaka wakichoka kukuigizia.

Hawa wanaoua wenzao, au wanaoita wenzao simps n.k ndo design ya watu ambao walifanya bad investment. Unajitoa unajimaliza kupata vitu ambavyo ulipaswa kupata bure.
 
Kwa vyovyote, sisi wanaume ni wapumbavu sana. Papuchi zimejaa sana humu duniani Halafu bado tunaumia moyo hao dada zetu wakitukimbia. Binafsi akikimbia nitajisemea Asante Mungu, umeniletea fursa Nyingine ya kuwa huru- niendeleze maagizo yako “ zaeni mkaijaze dunia”.
Sasa ya nini kumpelekea mtu mwingine mapanga hadi kifo? RIP na huyu aliyekutenda apate kinacho mstahili kisheria.
 
Kwa mfano uliotoa nyie mnaongoza ubao,, sisi tunauvumilivu wa hali ya juu sana linapokuja suala la kuachwa
 
Kwa mfano uliotoa nyie mnaongoza ubao,, sisi tunauvumilivu wa hali ya juu sana linapokuja suala la kuachwa
Wanawake wanaumizwa sana tu sema wanakosa namna ya kureact kwa sababu ya tamaduni zetu mda mwingine wanawake wanakuaga na 'shock absober' ambao inaweza kua watoto, mahusiano ya siri/mfariji au ndugu.
 
sababu haijaelewka hapo polisi wamehisi tu bado wanaendelea na uchunguzi, je kama ni mambo ya kikazi kuchomeshana nk tuwe na subira tusichafue watu haraka



oktoba nitatiki, mama sqmia we ni mama angu
 
Hii habari imenitisha
 
Mapenzi🚯🚯🚯🚯🚯
 
Mnajifanyaga wagumu tu ila kuna kona mkibanwa hamfurukuti mnavurugika ubongo hiyo mifano uliyotaja hapo ni ushahidi tosha ongezea ndikumana wa uwoya

Kujifanya wagumu ni asili yetu. Sema jamaa ana ujinga mwingi japo ana akili za kuwa mhandisi; atakua alipuuzia dalili halafu akajifanya kugomea matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…