brasy coco
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 1,489
- 900
Bajeti ipi?Pesa inachotwa kwenye shughuli za maendeleo kujazia,hiki ni kivuko kingine kingenunuliwabajeti yake hipo; unataka ipigwe kama ESCROW.
Ndo maana ya DEMOCRASIA
Ninyi watu huenda mna hali ngumu kuliko hawa wanaopinga huu upuuzi!!!!Hayo ndio matunda ya Demokrasia...
Lowassa na genge lake walitoka CCM wakajiunga na CHADEMA..
Lazaro Nyalandu alijiuzuru Ubunge akajiunga na CHADEMA...
Hivi wewe umuunge au usimuunge mkono JPM kuna kitu kitabadilika kweli?...Zaidi ya humu JF kuna sehemu yoyote unajulikana?....Unajikuta mtu maarufu na una faida kwa nchi hii..😅😅😂😂
We still some more to come. I real support them. They are coming to safe place. Welcome to peoples party leave alone peoples power cheating partyToo much! boring, barbaric, archaic, uncivilized......
Unaongelea ubunge umesahau uraisi,Lowasa aliingia chadema vuuuu akapewa ugombea uraisi chap chapHivi hakuna sheria inayomtaka mtu anayegombea nafasi ya uongozi wa kupigiwa kura awe mwananchama wa chama hicho kwa muda maalum? Mtu anaingia tu ndani ya chama na hapo hapo anapewa nafasi ya kugombea ubunge?
Hizi zama zitapita na huu ujinga utapita tu.
Hoja ya Zitto kuhusu kile kifungu inazidi kupata nguvu kadri siku zinavyokwenda.
Kamwe hamtakuja kuniona namuunga mkono huyu mtu maana ni sawa na mhujumu uchumi.
Andika kiswahili mkuuuuuuuWe still some more to come. I real support them. They are coming to safe place. Welcome to peoples party leave alone peoples power cheating party
I meant People's. I omitted an apostrophe. Is ok now mr nduguAndika kiswahili mkuuuuuuu
Peoples unamaaanishi nini?
Ni lulu kweli na hii ni kwasababu ana-deal na evil man.zitto amekuwa lulu siku hizi kwako kuliko hata mbowe!!.aibu
Nafikiri hujamwelewa vizuri alichomaanisha. Soma tena utaelewa alimaanisha niniMbona hamkusema haya mapema na mmengoja ameondoka ndiyo sasa mnatutapikia hivi? Kataeni muwezavyo ila CHADEMA kuna tatizo la msingi ambalo kama msipokuwa makini nalo kuna uwezekano hadi kufikia mwaka 2020 huko akabaki tu mwenye Chama chake Mzee Edwin Mtei na Dalali wake Mkuu Freeman Mbowe na Wabunge wote wakarudi CCM. Yaani badala ya Kutafakari kwanini mnakimbiwa nyie mlivyo na akili fupi neno lenu la Kwanza na la Kujitetea ni kuwa ' Wananunulika ' na Serikali kupitia Chama Tawala cha CCM.Tukiwashaurini mnatudharau acheni sasa ' mkomeshwe ' labda mawazo yetu ya Kiuhalisia mtayakumbuka sasa na kubadilika.
Nawaza siku ya uchaguzi mkurugenzi atamtangaza vipi mshindi(lyoba) wakati alitaka kumuharibia kwa rais siku ile!!!!Hili lilitarajiwa sana kutokea tangu ile ziara. So hii si habari kabisa bali ni update tu.
Pimbi tuliza mshono, hii mambo haitaleta nafuu yeyote kwny ugum wa maisha unaopitia hapo geto kwako yombo buzaMbona hamkusema haya mapema na mmengoja ameondoka ndiyo sasa mnatutapikia hivi? Kataeni muwezavyo ila CHADEMA kuna tatizo la msingi ambalo kama msipokuwa makini nalo kuna uwezekano hadi kufikia mwaka 2020 huko akabaki tu mwenye Chama chake Mzee Edwin Mtei na Dalali wake Mkuu Freeman Mbowe na Wabunge wote wakarudi CCM. Yaani badala ya Kutafakari kwanini mnakimbiwa nyie mlivyo na akili fupi neno lenu la Kwanza na la Kujitetea ni kuwa ' Wananunulika ' na Serikali kupitia Chama Tawala cha CCM.Tukiwashaurini mnatudharau acheni sasa ' mkomeshwe ' labda mawazo yetu ya Kiuhalisia mtayakumbuka sasa na kubadilika.
Yajayo yanafurahisha
Mbunge wa jimbo la Serengeti kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Marwa Ryoba Chacha amejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) muda mfupi uliopita kwa kile alichodai kuunga mkono juhudi za Mhe. John Pombe Magufuli katika kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo.
Amesema hajashurutishwa na yeyote kuchukua maamuzi haya.
Marwa amewasihi wana Serengeti kumchagua wanayeona anafaa, anayeunga mkono juhudi za Mhe. Rais Magufuli katika kuleta maendeleo.
Akitangaza kujivua uanachama amesema,
Mimi Marwa Ryoba Chacha, mbunge wa jimbo la Serengeti na mwanachama wa CHADEMA, leo tarehe 27/08/2018 nimeamua kwa hiari yangu mwenyewe bila kushinikizwa na mtu yeyote kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na Chama cha Mapinduzi. Nawaomba wananchi wa Serengeti, mlinipa imani kubwa ya kuwatumikia lakini imefikia sehemu kupitia CHADEMA naona kama siwatendei haki.
Nimeamua nijivue uanachama na kujinga na chama cha mapinduzi ili kuunga mkono juhudi za maendeleo ambazo anazifanya Rais Magufuli. Niwaombe wananchi wa Serengeti, nafasi ipo kwenu chagueni mtu mnayemuona anawafaa kuwawakilisha ambaye ataungana na Rais Magufuli kuwaletea maendeleo.
Asanteni sana.
VIDEO: